Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,697
Hebu fikiria nchi kama Kongo inapigana Vita miaka na miaka lakini timu yao ya taifa imeingia Nusu fainali mashindano ya mataifa huru Africa.
Tanganyika imetolewa mapema ikiwapeleka akina Mwijaku na Baba Levo uwanjani na wananchi wanalala gizani umeme shida.
CCM haina cha ziada chq kuwafanyia wananchi zaidi ya kulishana sumu.
CCM ni janga la kitaifa.
Maendeleo hayana vyamaa.