Tunapoelekea siyo pazuri

Tunapoelekea siyo pazuri

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.
 
Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
 
Hajakwambia hana uwezo. Otherwise angepaki gari... anachoshangaa ni kupanda kwa gharama na dolar.. means sio dalili nzur kiuchumi. So serikal ifanye jambo
 
Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.
 
Shukuru mungu una hela tena dolar kabisa kuna wenzio hata hiyo rangi ya dolar hawajui ina fananaje
Kutokuijua dollar sio kwamba haya mdhara ya kiuchumi hayakuhusu. Wewe ndio mwathirika namba moja maana wewe ndio mtanzania wa kawaida ambae madhara haya yataanzia kwako

Tafuta elimu mkuu
 
Pole sana mimi huko hata siadhiriki pole yako wewe ambae ndie unaelalamika
 
Back
Top Bottom