Tunapoelekea kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, napenda kumshukuru Rais Samia

Tunapoelekea kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, napenda kumshukuru Rais Samia

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA.

Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika huko duniani au Dr Samia Suluhu Hassan , kwa kulivusha Taifa letu salama katika mwaka 2025 ambao ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi.

Nchi yetu ya TANZANIA imeeendelea kuibeba TUNU ya AMANI , UPENDO , HAKI na mshikamano kwa watu wote.

Pamoja na kujaribiwa tarehe 29/10/2025 na watu wasiokuwa na mapenzi mema na TAIFA letu ila Mama wa AFRICA Dr Samia Suluhu Hassan , alisimama imara na kutuvusha Watanzania wote salama.

Sisi Watanzania hatuna cha kukulipa Wewe Mama wa Africa zaidi ya kukushuru.

Leo hii ikiwa ni siku ya mwisho ya mwaka 2025 tutakesha Makanisani na misikitini tukikuombea ili Mungu tunayemuamini aendelee kukujaza HEKIMA na maarifa zaidi ya kuliongoza TAIFA letu la Tanzania.

Kwa sasa sio wazee , watoto , wamama wala vijana Wote wanazungumza Lugha ya matumaini , furaha na UPENDO kwako.

Happy new year kwako MAMA WA AFRICA DR SAMIA SULUHU HASSAN

AMANI KWANZA
TAIFA KWANZA
ENDELEA KUWA MZALENDO NA ILINDE TASWIRA NZURI YA NCHI YAKO.


🇹🇿🙏🏽🇹🇿


My mesaage 2026
👇🏾
you have to believe that everything that happens in our life is for greatest good nothing happens in our life if we are not prepared to handle It.

It is time to see what is next after that and Usually when things are darkest light it is on its way.

So Don't give up and don't stop to chase ur dreams. Even when the odds are against you for now.

Life is reality so don't cheat the process , always trust the process and embrace the process.

Thank you MAMA AFRICA.🇹🇿🙏🏽🇹🇿
 
Upumbavu na ujinga wa kurogwa umewajaa vijana wa CCM,

Unajuwa kabisa pumzi tu uliyonayo haina mahusiano yoyote na binadamu huyo halafu unamshukuru kuvuka mwaka?

Unamshukuruje mtu ambaye amekuwa sehemu ya kutoa uhai wa Watanzania maelfu?

Mungu, uirehemu Tanzania na watu wake

Kwa niaba ya HAYA LAND HOV na wengine wengi wasiotambua huruma na nguvu zako, uwarehemu Bwana wa Majeshi
 
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png
 
Unapata wapi ujasiri wa kumshukuru muuaji, mtekaji, mwizi wa kura, mfungaji wa wapinzani wake, mwizi na muuzaji wa raslimali za Watanganyika kwa wajomba zake Waarabu!

Utakuwa una matatizo ya akili bila shaka.
 
Mdogo angu niunge na mie kwenye harakati basi nipate Hela ya kula.dadako nashinda njaa
Kwa post Moja wanalipa 10,000?
THIS IS NOT MOVEMENT IS PATRIOTIC AGENDA.
HAKUNA MTU ANALIPWA KWA KUANDIKA AU KUONGELEA KAZI NJEMA YA DAKTARI WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

HIZO ZA KUPEWA HELA NDO PROPAGANDA DON'T TRUST PROPAGANDA

THEN HAPA TANZANIA HAKUNA MTU ANAYELALA NJAA ACHA KUZUA TAHARUKI


HAYA LAND OR I DO THIS NOT FOR MONEY BUT FOR LOVE OF MY COUNTRY.


USHAURI

KATIKA MAISHA FIND THE SPACE AND NOT POSITION.

❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom