DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
- Thread starter
- #21
Peleka utumbo wako uko
KUWA MZALENDO TAIFA KWANZA AMANI KWANZA MAMA WA AFRICA KAZI YAKE NI NJEMA.
Peleka utumbo wako uko
Unapata wapi ujasiri wa kumshukuru muuaji, mtekaji, mwizi wa kura, mfungaji wa wapinzani wake, mwizi na muuzaji wa raslimali za Watanganyika kwa wajomba zake Waarabu!
Utakuwa una matatizo ya akili bila shaka.
when things are darkest light it is on its way.Nchi ngumu sana hii.
kazi nzuri inahitaji kusifiwa na huu ni utamaduni wa dunia nzimaKuna wakati nahisi huyu ni Muwasha-mbwa kwa ID nyingine au tilalilalah. Hii bidii ya kusifia 24 hours inaendana nao.
🤝Shukurani na pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi❤️
Njaa mbaya hili ropo ropo lina I'd 43 nyingine linauza ubuyu, nyingine lina jifanya Dr mara lina akili kumbe KIAZI mmoja tuMdogo angu niunge na mie kwenye harakati basi nipate Hela ya kula.dadako nashinda njaa
Kwa post Moja wanalipa 10,000?
Njaa mbaya hili ropo ropo lina I'd 43 nyingine linauza ubuyu, nyingine lina jifanya Dr mara lina akili kumbe KIAZI mmoja tu
NO NOUsitusemee sisi, mshukuru wew na familia yako! Hana maana yoyote kwetu sisi, tapeli huyo mwizi muuaji
🚮AHAAAA 😁😁😁
Utekaji anao ufanya kupitia polisi na wahuni wengine nao unahitaji research! Kumfunga Lissu kwa kesi ya mchongo inahitaji research! Kuua na kuwapoteza wakosoaji wake nayo inahitaji research! Kujitangaza mshindi kwa ushindi wa kupika, vyote hivi vinahitaji research!USIKAE MTANDAONI TAZAMA KAZI KUBWA SSH ANAFANYA USIKAE FB, TIKTOK N.K
THE COUNTRY IS SAFE
DO UR RESEARCH FIRST KABLA HAUJAANDIKA CHOCHOTE.
usiweke siasa ktk kila kituUtekaji anao ufanya kupitia polisi na wahuni wengine nao unahitaji research! Kumfunga Lissu kwa kesi ya mchongo inahitaji research! Kuua na kuwapoteza wakosoaji wake nayo inahitaji research! Kujitangaza mshindi kwa ushindi wa kupika, vyote hivi vinahitaji research!
Mdogo angu niunge na mie kwenye harakati basi nipate Hela ya kula.dadako nashinda njaa
Kwa post Moja wanalipa 10,000?
MUNGU WETU NI MWEMA SANA .Upumbavu na ujinga wa kurogwa umewajaa vijana wa CCM,
Unajuwa kabisa pumzi tu uliyonayo haina mahusiano yoyote na binadamu huyo halafu unamshukuru kuvuka mwaka?
Unamshukuruje mtu ambaye amekuwa sehemu ya kutoa uhai wa Watanzania maelfu?
Mungu, uirehemu Tanzania na watu wake
Kwa niaba ya HAYA LAND HOV na wengine wengi wasiotambua huruma na nguvu zako, uwarehemu Bwana wa Majeshi
HAKIKA AMANI KWANZA TAIFA KWANZA, TANZANIA NI SALAMA