Tunapoanza mwaka mpya, tujue, utekaji ni dalili za woga wa wanaojidai wana nguvu wakati ni cowards

Tunapoanza mwaka mpya, tujue, utekaji ni dalili za woga wa wanaojidai wana nguvu wakati ni cowards

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,424
Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata kunyamazishwa, utekaji, upotezaji, na mauaji yatokanayo nao ni ushahidi kuwa wenye nguvu tunaodhani wana nguvu ni cowards wa kawaida wanaojikojolea na kujiharishia wakisikia yeyote anawapinga.
Japo Gen Z wamepunguza kasi, hayajaisha na hayataisha hadi haki ipatikane. Hayataisha hadi amani uchwara inayohubiriwa inatokana na haki na si mtutu wa bunduki au hadaa na ngonjera za kisiasa kama zile za machawa na mazwazwa kama Mkumbo Madelu na muungu wake Lata uliomuajiri afanya makufuru kwa niaba yake.
Nawatakieni heri ya mwaka mpya.
 
Back
Top Bottom