Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 750
Wakazi wenzangu wa Dar mnajua hali ya hewa ya jiji ni joto sana. Lakini hata vyumba vya kupanga hasa vyoo na bafu za kushare.
Sasa mwenzangu anataka tufanye mapenzi usiku. Nashindwa kwasababu nikimaliza lazima niende kuoga siwezi kulala na mijasho. Ila muda huo kwa bafu za kushare ni tabu kwani bafu letu la nje, halina taa n.k.
Mimi napenda nifanye asubuhi nikimaliza nioge niende katika mihangahiko yangu. Mwenzangu hataki kwa kigezo kuwa anakuwa na usingizi hivyo hafurahii tendo. Sasa tunafanya kwa kuviziana tu jambo ambali linanikwaza kweli.
Naomba ushauri .