Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 302
Mie sijawahi penda hata mara moja, nina very short lasting infatuation na ikiisha wapigwa chini kiinterejensia. I wish ningependa hata kwa siku moja tu nione how it works in ones heart. Mie naamini nitaoa kwa ajili ya kutimiza tu wajibu na si kupendj aisee
Nilishawahi kumpenda mwanaume mmoja tu ambaye kwa kumbukumbu nzuri siku aliyoniambia ananipenda nlilia sana mbele yake,nlicholilia ckukijua mpaka leo
Umenifanya nicheke mno LolInategemea "ntu na ntu" na huyo uliempenda ana FEDHA kiasi gani
Teh teh watu mna manenoInategemea ntu na ntu...
Wapo wengine daily wanapenda tena kwa kiwango kile kile.... Eg: Diva wa Klauds
Inawezekana amekushka penyewe ila kuna msemo unaempenda hakupend ucempenda anakupenda ,cjui kweli?
Inategemea ntu na ntu...
Wapo wengine daily wanapenda tena kwa kiwango kile kile.... Eg: Diva wa Klauds
Mie sijawahi penda hata mara moja, nina very short lasting infatuation na ikiisha wapigwa chini kiinterejensia. I wish ningependa hata kwa siku moja tu nione how it works in ones heart. Mie naamini nitaoa kwa ajili ya kutimiza tu wajibu na si kupendj aisee
Umempenda yeye au unalilia pesa zake.Habarini!! Huu msemo sio mgeni kwako na kwangu hata mimi nilikua nikikua huku nausikia na Sasa nimeamini kuwa kupenda ni Mara moja tu Nimekuwa kwenye mahusiano hapo nyuma lakini sijawahi kupenda, sijawahi kumlilia mwanaume kwa lolote wala sijawahi kuomba msamaha nadhani mfumo jike ulinitawala sikuwa na hisia na yeyote nilie wahi kuwa nae Maisha yamebadilika Sasa ndipo nikagundua kuwa kwasasa nimependa kweli nimekuwa mdogo Kama piriton mwenye machozi yasiyoisha nikikosea na napenda kwa dhati haijalishi nini Je ni kweli nawewe kwa upande wako imekutokea hii kwamba umewahi kupenda mara1 tofauti na Mara nyingine zote? Hata kwa wenye wapenzi wengi yupo mmoja ambae ndie unique unaemuhusudu?? Nipeni uzoefu Nawasilisha
Umempenda yeye au unalilia pesa zake.
Wazee walisema kila shetani na mbuyu wake...sasa wewe umepata mbuyu wako... For some it happens once Wengine twice..Wengine it never happen
Lol huyu ni mjasiriamali bwana anazo tayari hukumbuki biashara ya mkaa?Kampenda tu mjaluo wake mwenyewe!Umempenda yeye au unalilia pesa zake.
kuna wengine wameparamia mibuyu mingi sana....unaweza hata kuwapa cheo cha wahifadhi wa misitu
Inategemea ntu na ntu...
Wapo wengine daily wanapenda tena kwa kiwango kile kile.... Eg: Diva wa Klauds
Kwa upande wangu ni kweli, yaani nampenda huyo mwanaume mpaka nahisi niyeye tu dunia nzima ndio mwanaume peke yake. Ila ............................!!!!!!!! Kupenda huku basi sawa.
Inategemea ntu na ntu...
Wapo wengine daily wanapenda tena kwa kiwango kile kile.... Eg: Diva wa Klauds
umeona eeh!!Lol huyu ni mjasiriamali bwana anazo tayari hukumbuki biashara ya mkaa?Kampenda tu mjaluo wake mwenyewe!