Tunapenda mara moja tu!

hutendi haki mkuu...

nampenda kawaida kwani kipimo cha kupenda ni kipi ,she will be the happiest all the time but sio kupendaaa kama mpaka unakuwa mtumwa wa mawazo ,is only GOD
 
Inategemea ntu na ntu...
Wapo wengine daily wanapenda tena kwa kiwango kile kile.... Eg: Diva wa Klauds
. Ha ha ha; Kuna waliojaliwa mkuu and she is definitely one of them. Yaani sio issue, kama mnywa beer asie na beer maalum - Mwezi huu Kilimanjaro; mwezo ujao Serengeti ili mradi siku ziende
 
nampenda kawaida kwani kipimo cha kupenda ni kipi ,she will be the happiest all the time but sio kupendaaa kama mpaka unakuwa mtumwa wa mawazo ,is only GOD

yan kama ni hivyo hata ukiibiwa roho haiumi wala nini....
viZuri sana
 
yan kama ni hivyo hata ukiibiwa roho haiumi wala nini....
viZuri sana

IUME? ili iweje? nitampenda na nitahakikisha shes all the way happy and loved but sio kunichanganya namambo mengi kwenye kichwa sio kupenda tu
 

Mimi naona unaweza kupenda tena inategemea tu uliamua vipi kuendelea maisha toka ulipopenda mwanzo
 
IUME? ili iweje? nitampenda na nitahakikisha shes all the way happy and loved but sio kunichanganya namambo mengi kwenye kichwa sio kupenda tu

safi sana mkuu..wote wangekuwa kama wewe kusingekuwa na mahaba niue na watu kulalamika na mapenzi yanawaumiza..
 
Kwa upande wangu ni kweli, yaani nampenda huyo mwanaume mpaka nahisi niyeye tu dunia nzima ndio mwanaume peke yake. Ila ............................!!!!!!!! Kupenda huku basi sawa.
duh aisee kweli nimekubali
 
....i see.....bado haijaniingia akilini vizuri, nitarudi
 
Inaweza kutokea au isitokee! kupenda acha kabisa!!! ni hatari
 

umejuaje kama umependa hebu tupe uzoefu umehisi nini mpaka ukahitimisha kuwa umependa na kupenda ni raha au maumivu tupe darasa mkuu
 
Naomba ufafamuzi wako ama ujuzi kidogo juu ya hawa kina mama walio olewa zaidi ya mara tatu. Yaani utasikia fulani hii ni ndoa yake ya nne ama tano, yaani ana bahati kweli ya kuolewa. Sasa hawa wana mapenzi kweli kwa wanaume au inakuwa nini?

sio kila aneoa/kuolewa kapenda. wengine basi tu eti wanatoa 'nuksi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…