Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

Naamini unachokisema haukifaham, baadhi yetu tumechaguliwa course za education with mathematics leo unasema eti waliopata ni wa education science? Maana nini wakati sisi wa course hizo hatujapata na ufaulu wetu mkubwa sana?
 
Yap Tuxubiri Tu Xaxa Kwa Cc Ambao Profile Zetu Za Nacte Zko Pending Bdo Hatujawa Confirmed Na Chuo Tunafanyaje?
 
Poleni madogo kazeni roho uku mkicheki plan B..

Wangapi wanasoma bila bumu.. tulieni msipanic
 
Lakini mimi naona hatuna namna nyingine zaidi ya kuwasubiri hawa jamaa.
Tusubirini tu , No way out.
 
Back
Top Bottom