Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 737
- 2,162
Unaisukuma kwa ngapi mkuu hiyo premio, nahitaji.Ninayo premio kali mkuu, namba DNM
Ila cc 1999
Unaisukuma kwa ngapi mkuu hiyo premio, nahitaji.Ninayo premio kali mkuu, namba DNM
Ila cc 1999
Nahitaji hii kazi Mkuu, inaendaje
Mpaka ifike huko nadhani ni 2024T 666 EEE.
Mwezi wa nane au kumi hukoKwa speed hii namba E Mwezi wa Sita Tu hapo. Kitu nimekitoa Jana Leo nauliza naambiwa wapo DZC
View attachment 2202813
Usinunue gari kwa namba mkuu , unaweza kuona D lakini ikawa kimeo kuliko AIkifika namba E ntatafuta gari namba A kwa bei ya toyo
Sio mbaya.Mpaka ifike huko nadhani ni 2024
mkuu hivi hizi namba zinaendaje? nimeelewa mtiririko wa herudi,ikitoka DZD inakuja DZE kisha DZF na kuendelea....Je hizo namba hapo juu zinatembeaje? 589..592...
E ni mwakani tu
Sawa mkuu. Tuweke kambi hapa...This year E itakuwapo barabarani
magari 600 tu ndio yanabaki Tz.Number E July tu apo View attachment 2215476