Yaani ulikuwa unakuja na hoja jengefu sana ila ulipofika tu hapa nikakata tamaa na somo lako....Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.
Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.
Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.
Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.
Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?
Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.
Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.
Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.
Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.
Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.
Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.
Tunaonewa sana.
Umejibu vyemaYaani ulikuwa unakuja na hoja jengefu sana ila ulipofika tu hapa nikakata tamaa na somo lako....
"Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa....:"
Huyu unayemuita Mungu "Allah" ametuleta hapa dunianj kwa lengo moja tu ... kumuabudu yeye pekee..
Tukimuabudu Allah basi kuna malipo kesho tutakapokufa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣hiyo salamu yako paragrafu ya kwanza tu ni inatishaHabari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.
Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.
Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.
Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.
Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?
Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.
Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.
Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.
Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.
Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.
Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.
Tunaonewa sana.
nilikuwa nasubiri uchomekee issue ya LOLIONDO.hapa sijaambulia kituHabari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.

Wakati nikiwa mdogo nilikua nawaangalia kuku wakiwa bandani nikawa nashangaa sana. Nilikua najiuliza, kwanini hawa kuku kila siku wanaona tunamchukua mmoja wao na kumchinja, lakini hawa wanaobaki hawashtuki wala hawakimbii? Nikawa nashangaa kuku wanafunguliwa asubuhi lakini jioni wanarudi tena wenyewe bandani, kwanini wasikimbie?Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.
Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.
Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.
Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.
Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?
Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.
Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.
Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.
Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.
Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.
Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.
Tunaonewa sana.
Thread imeelekea kushiba sasa baada ya kuongezea nyama hongera sana mkuuWacha nikarudie haka kacomenti kangu pia;
Poa ngoja tuamue kutembea na hiyo nadharia yako bila kupinga;
Tuongeze nadharia ya mfano kwamba labda mchicha ukiula wewe binadamu, mchicha unakuwa sehemu ya binadamu na unafaidi ile experience ya kuwa binadamu. Utaishi nyumba nzuri utaendesha magari etc
Mchicha hautapenda kuliwa na mbuzi kwa sababu ona experience ya kuwa mbuzi sio tamu kivile, analala sehemu chafu, anapigwa jua,hathaminiwi etc. Kwa hiyo bora mchicha uliwe na binadamu na sio mbuzi. Uuexperience ubinadamu na sio umbuzi.
Kwani we unajuaje kwa nini ukila mchicha unaona zaidi? Ni kwa sababu mchicha ukiingia mwilini mwingi unajaa kwenye macho kwanza baadae ndo uende na kwingine. Kama tu ambavyo mshamba mwingine yeyote[toka shamba] akifika mjini au sebuleni ni macho ndo yanakuwa active zaidi! Kwa hiyo ndugu hata kama mchicha kiukweli ukawa hauna uwezo huo[kiuelewa/akili].
Tambua kwamba kwa binadamu ndivyo ilivyo, tumeumbwa na uelewa na utambuzi kujitambua na kutambua. Ukiliwa na Mungu utauexperience umungu[uhai],upendo, amani, uzuri, ukweli vyote utafaidi LAKINI ukiliwa na shetani utauexperience ushetani[kifo], chuki, taabu, ubaya machukizo.
Chagua sasa kuja kuliwa na Mungu na utafaidi milele pale utambuzi/consciousness wako utakuwa makaoni pa Mwenyezi Mungu.
Ebhana asante, tuendelee kujaziajazia ili jamaa nadharia yake iwe na nyama zaidiThread imeelekea kushiba sasa baada ya kuongezea nyama hongera sana mkuu
[emoji3]Halafu yule Profesa wa Kenya anatetea bangi ili apewe Urais, mnaona shida hii?
Umeandika ukweli tupu na sisi alien ndo tutakaowala hawa watu wanaojipa majina mengimengi wengine ati akina konki!!.. kuliwa kuko palepale sahivi mwakimbilia billion 8,jazaneni tu na vile ngono ni tamu..😂
Kwa hiyo wewe umeshajua dhima ya Mungu na shetani kwako? Je tayari una mgogoro nao?Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.