Tunaomngojea Humphrey tukutane hapa

Tunaomngojea Humphrey tukutane hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,886
Reaction score
828,464
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea

Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV

Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha tukisha elimika sasa!

Haba na haba hujaza kibaba wahenga walisema! Lakini sasa za kuambiwa zichukue kama zilivyo usizichanganye na za kwako.. Mtindi hautiwi limao

Leo ni ukurasa wa nne.. Naamini mkata vimeo nuru ikatoweka ameshaanza kuzoea taharuki.

Ndorobo pia wanasubiri kwa hamu japo hawataki kukiri...

Nisimalize uhondo ngoja niwahi siti ya nyuma na barakoa yangu...! Jicho la mwewe lipo kazini
d686f7fa-e260-46dc-ab6f-83569f28dba3.jpeg

View: https://www.youtube.com/live/yiwUA3Oix2E?si=FGujg3M2EmyClxMo
 
Naona wahuni wa CCM leo hapa JF .Pole pole akianza utaona wanaanza kudodondosha nyuuzi zao za buku saba rumumba
 
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea
Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV
Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha tukisha elimika sasa!
Haba na haba hujaza kibaba wahenga walisema! Lakini sasa za kuambiwa zichukue kama zilivyo usizichanganye na za kwako.. Mtindi hautiwi limao

Leo ni ukurasa wa nne.. Naamini mkata vimeo nuru ikatoweka ameshaanza kuzoea taharuki.
Ndorobo pia wanasubiri kwa hamu japo hawataki kukiri...
Nisimalize uhondo ngoja niwahi siti ya nyuma na barakoa yangu...! Jicho la mwewe lipo kaziniView attachment 3457900
Ukipata link tuwekee hapa. Hotuba ya leo itakuwa ndefu sana maana mada ni motomoto
 
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea

Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV

Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha tukisha elimika sasa!

Haba na haba hujaza kibaba wahenga walisema! Lakini sasa za kuambiwa zichukue kama zilivyo usizichanganye na za kwako.. Mtindi hautiwi limao

Leo ni ukurasa wa nne.. Naamini mkata vimeo nuru ikatoweka ameshaanza kuzoea taharuki.

Ndorobo pia wanasubiri kwa hamu japo hawataki kukiri...

Nisimalize uhondo ngoja niwahi siti ya nyuma na barakoa yangu...! Jicho la mwewe lipo kaziniView attachment 3457900
Utatuwekea Link
 
Saa90 mwenyewe yupo ndani ndani huko alikopigia kampeni leo.

Maskini ya mungu kajilaza kwenye mto, kanyong'onyea katoa tekno yake anasubiri spana.
 
Back
Top Bottom