Tunaomngojea Humphrey tukutane hapa

Tunaomngojea Humphrey tukutane hapa

Aliye twambia akili za kuambiwa changanya na zakwako alikosea unaweza kuharibikiwa hasa ukiruhusu kuchanganya akiri za mtu ambaye huwa anaahirisha kufikiri, (suspending individual reasoning), a.k.a kujizima data

Vile vile usichangaye akili zako na wataalamu wa kujishupaza shingo, (CCM), ndugu yako akitekwa utaambiwa amejiteka ama amejificha
Vile vile usichangaye akili zako na wataalamu wa kujishupaza shingo, (CCM), ndugu yako akitekwa utaambiwa amejiteka ama amejificha😪🤔😭
 
Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea

Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV

Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha tukisha elimika sasa!

Haba na haba hujaza kibaba wahenga walisema! Lakini sasa za kuambiwa zichukue kama zilivyo usizichanganye na za kwako.. Mtindi hautiwi limao

Leo ni ukurasa wa nne.. Naamini mkata vimeo nuru ikatoweka ameshaanza kuzoea taharuki.

Ndorobo pia wanasubiri kwa hamu japo hawataki kukiri...

Nisimalize uhondo ngoja niwahi siti ya nyuma na barakoa yangu...! Jicho la mwewe lipo kaziniView attachment 3457900


View: https://www.youtube.com/live/yiwUA3Oix2E?si=FGujg3M2EmyClxMo

Kuna mtu ajitolee kuweka live update hapa, kwa wasio na access na YouTube
 
Majizi ya Ccm yanaenda kuzima switch
Wana msimamizi wao wakishindwa kutumia buku saba
IMG_2373.jpeg
 
Saa90 mwenyewe yupo ndani ndani huko alikopigia kampeni leo.

Maskini ya mungu kajilaza kwenye mto, kanyong'onyea katoa tekno yake anasubiri spana.
Alivyo sasa katoa ushungi na makalio kaona kula msuba akicheki mubashara live
IMG_2384.jpeg
 
Back
Top Bottom