Katika hotuba ya Bajeti 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha Ndugu Mwigulu Nchemba ilitamka wazi kuwa kuanzia Bajeti mpya HOTEL LEVY imepunguzwa kutoka asilimia 10 mpaka asilimia 2. Wengi wa Wafanyabiashara hawana taarifa hii lakini wanapoenda Halmashauri bado wanalipishwa Hotel Levy kwa kiwango cha asilimia 10.
Nchi hii inaongozwa na sheria na taratibu ni vema tukaheshimu hizo sheria za nchi.
Nchi hii inaongozwa na sheria na taratibu ni vema tukaheshimu hizo sheria za nchi.