Tunaomba Beer zizidi kupanda Bei

Tunaomba Beer zizidi kupanda Bei

ndio.
Kile cha jero sasa hivi Sh. 700, kile cha buku kinauzwa buku sh. mbili,
konyagi ndogo 3500, mzinga 7000, phantom 12000..
Hiyo ndio bei yetu huku kajambanani, sijui huko duniani bei zikoje?

kweli wewe Mdau.

nimekukubali jombaaa.
 
kwani nini bana....tena tutapunguza na vitambi....

mimi sina kitambi bhana,.....ndio niko kwenye mchakato wa kutafuta_halafu ndio wananiletea huu upuuzi wa kupandisha bei.
 
mkuu ukiwa nacho hicho hata kwenye dala dala unapewa kipao mbele. Kujijini wanakupisha kwenye siti ukae
 
ndio.
Kile cha jero sasa hivi Sh. 700, kile cha buku kinauzwa buku sh. mbili,
konyagi ndogo 3500, mzinga 7000, phantom 12000..
Hiyo ndio bei yetu huku kajambanani, sijui huko duniani bei zikoje?

watu tutakunywa tu, lakini waelewe kwamba magumashi maofisini yatazidi maana wanapandisha vitu bei mishahara bado iko pale pale
 
tunaongelea beer mama. mtajijua na magezeti yenu

sasa kama JF ipo hewani kuna haja gani ya kununua magazeti? mimi hua siangalia taarifa za habari wala sinunui magazeti, as longer as JF is online
 
watu tutakunywa tu, lakini waelewe kwamba magumashi maofisini yatazidi maana wanapandisha vitu bei mishahara bado iko pale pale

Nope, usifanye hivyo mkuu...
Kama vipi hamia kwenye asili tu...
 
Back
Top Bottom