Lilybethord
Member
- Aug 7, 2016
- 35
- 52
,
haiwezi kuruka mpaka kenya?? duh
sasa kutoka huko canada ilipotengenezwa mpaka tanzania imekujaje?? ilibebwa kwenye kontena au???
Hebu fuatilia ilitumia siku ngapi hadi inatuahaiwezi kuruka mpaka kenya?? duh
sasa kutoka huko canada ilipotengenezwa mpaka tanzania imekujaje?? ilibebwa kwenye kontena au???
haiwezi kuruka mpaka kenya?? duh
sasa kutoka huko canada ilipotengenezwa mpaka tanzania imekujaje?? ilibebwa kwenye kontena au???
Ndege zilizokuwa za ATC zilienda wapi!?tulikuwa hatuna ndege mlikuwa mnalalamika,,tumepata ndege still mnalalamika, eti haiwezi kuruka hadi Kenya, vipi ilitokaje Canada kuja hapa Tz, rudi darasani kasome hesabu na km/s na zile hesabu za mwendo, hii ndege ni bonge moja la ndege......
Mkuu umenena vyema ...serekali kufanya biashara kihuni sio jambo jema..Labda ndio ushauri wa wataalam kutoka "nyumbani" RwandaKuna vitu viwili umejichanganya, kwanza sio kweli kwamba Q400 haiwezi kuruka mpaka Kenya; Inaweza kwenda mpaka hata Adis Ababa. Baada ya hapo nadhani itahitaji refuelling.
Pili Ndege kuikodisha nadhani ni mkakati wa serikali zisiweze kukamatwa zinapokuwa nje ili kufidia madeni ya ATCL. Hii kwangu sikuipenda kama kweli ndio janja yao, Nchi haiwezi kufanya biashara kihuni, walipe madeni ya watu sio kufanya biashara kiujanjaujanja.
Sidhan kama kuna UKweli wowote Kuhusu hili...Nawashangaa watu ambao mnafurahia ujio wa ndege mpya ya serikali (KUMBUKA HII SIO NDEGE YA ATCL) wakitaka sharti waikodishe. Hii ndege haiwezi kwenda hata nje ya nchi hivyo safari zake zitakuwa za ndani tu.
Sasa najiuliza, kama tulishindwa kupanda fastjet ya 50,000/= hii inayotakiwa kukodishwa tutailipia tshs ngapi?