ndegeTunduni
Member
- May 2, 2023
- 23
- 35
Kwa wale ambao wapo shortlisted written na WCF tujuane jamani pia tupeane madini.
Nawasilisha kwenu wakuu.
Nawasilisha kwenu wakuu.
Mupo 5000
Tatizo utapeli mwingi sana siku hizi. Ni vizuri watu wa-confirm kusafiri na majina yao wakupe ili uhakiki kama kweli pia wameitwa kwenye usaili. Lakini pesa walipe siku ya kusafiri hiyo asubuhi.Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 30 tu.
Tutaondoka Ijumaa tarehe 19/05/2023 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand/Arusha bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 19 hadi Dodoma mjini.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 20 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
•Uwezekano wa kupata mtu wa kushare room accommodation ( kwa tutakaosafiri pamoja) kupunguza cost.
DM if interested. call,text, WhatsApp 0623 934 970
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO ( in person) MWISHO SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/05/2023 SAA SITA MCHANA
Vp ulkuepo leo nnAlooooo
Ndio...Vp ulkuepo leo nn
Kama mda wako umefika we ndo unakua mwenye nafasi...#Mwanajeshi Ashindwi vitanafasi moja watu mia tano, mna moyo sana
kama unaona ni sawa, poa tuKama mda wako umefika we ndo unakua mwenye nafasi...#Mwanajeshi Ashindwi vita