Hahah..hujaenda enterior..ukienda ndani ndani huko haya mambo bado yapo!! Mi mbona nimekaribishwa na kata sehemu kibao?Mbege ya bure siku za xmass huku mandenyi siku hizi imeadimika sana, dah nimeshatembelea kama familia nne sijagonga hata kitochi kimoja,ni eagle lager na banana plus viroba vimetawala.
Hiki chama siwezi kukihama kamwe. Ni chama pekee kisicho na ubaguzi wa kidini wala kabila. Ni chama pekee ambacho kila mwanachama anawaza chama kwanza na siyo individual benefits kama vilivyo vyama vingine hapa TZ.
Nipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.
si rahisi mbege inifilisi mkuu coz hii imeandaliwa home na mie cwez kwnda kununua mbege kilabuni had nifulie.Enjoy mkuu..lakini angalia usirudi town ukiwa mifuko mitupu
Na wewe mamaya walalamika nn wakati wari wa bure upo kwetu? Hujataka ukaribie tu ndugu coz wachaga ni wamoja!
Hey ndugu yangu matungusha ulifika? Mi nipo zangu rombo napata mbege kwa xana na kujadili mipango ya 2012! Welkam guys!
ha ni kufo ukeri are lau mlya? Itakwe ngikulolye nanga mfiri umu ndi....,hivo ngilelaa mapema kwa sababu kure mndu alehende kreti sitani sa bia kavengmaa kabisa luvaha saa si ngoja ngindesali kwa mobya!kure wari kabisa ku. wakolya mndu akora wari ideve limu weamba ni wari? ngikundi ngaenda kwa mndu ngikolye avikya ibiba la wari homengetheni,ibiba la weamba la msarakambo. Na si maburungusu yo venwa sasa hivi ku na fimorali na kiboko. Waishwa? Wala memba sa skuku dhaeee?
Haya mkuu...mimi nipo na waheshimiwa hapa moshi mjini. Raha moja tupo covered kwa kila tunachospend. Karibu sana
yesu angu! Mbutuku tena? Cna neno tena!kuna na huyu mrombo anajiita Mbutuku hapa jf,siji nae alifika sala au vipi
Haya mkuu...mimi nipo na waheshimiwa hapa moshi mjini. Raha moja tupo covered kwa kila tunachospend. Karibu sana
Acha dharau LAT, kazi ni kaz tu. Cha muhimu ni ikusaidie kukover mahitaji yako ya kila siku na kama kuna saving inakuwa nzuri zaidi.
yesu angu! Mbutuku tena? Cna neno tena!