Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,958
- 42,151
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nawasalim salam
Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu
KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo
Kanisa la leo limekumbwa na jamii ya wakristo wasio muishi vyema YESU KRISTO
Lakini kanisa la Nigeria limekuwa hodari sana licha ya vitisho vya kila namna linavyovyipitia
Tumeshudia vijana kwa wazee wa Nigeria wakimshudia KRISTO katika kazi zao kuanzia uigizaji hata football
Tuige watu hao tumeitwa kuwa mabalozi wa KRISTO kila wakati kila saa kila nyakati
MUNGU MWENYEZI awaongezee imani Luka 17:5
Amani iwe nanyi
Kwaresma njema
SAYUNI BOY