Tunamuomba Dr. Slaa hapa JF J'pili tarehe 31 July

Status
Not open for further replies.
Mods tunaomba musiliane na Mchungaji Mtikila mumuombe aje JF, kujibu maswali yetu
 
Hivi Mods kazi yao kuita viongozi wa siasa humu JF kuja kujibu maswali! Pro-TLP-JF na wenyewe wakitata mods wamlete Mrema, jamvini msikitae
Aargh! Tafadhali bwana. Kikwete japo kwa saa moja tu.Ili tusmpotezee muda. Kutakuwa na form za uchangiaji! Sema riz!
 
hahaha,kweli we unaumwa hata kifaduro unacho!
hahaa mkuu sasa JK atakachokuja kutueleza kwamba yy sio mvua, kuna haja gani ya kumleta. Hvyo basi kwakuwa slaa anakazi nyng nampendekeza hata Dovutwa kwani hatujawi kucklza maoni yake
 
mods tunaomba muwasiliane na Dr.Slaa mumuombe aje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja,
yapo mengi ya kumuuliza hasa kipindi hiki mfano:-
  • giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri,
  • bahasha la jairo.
  • kujivua gamba kwa RA.
  • sakata la madiwani wa arusha.
  • umaskini unaozidi kukua na gharama za maisha.

Kama Namba tano si kwa sababu ya matakwa ya kisiasa, mtoa hoja angefikiria waitwe wanazuoni wa masuala ya Uchumi na ujasiriamali. Wanazuoni wa uchumi wanawezakuwa na mchango mzuri zaidi kuliko wanasiasa. Isitoshe mwawazo yao yaweza kutufanya wengine tu-implement na kukuza kipato chetu! Wanasiasa watafika hapa na kuanza kushutumiana pasipo hata kutoa wazo linalowezakumfanya mtu wa kati au wa chini kutekeleza mawazo ya kujenga na kujikwamua kiuchumi. Wataishia kutuambia nichague mwaka 2015 ili mwe na maisha bora! Sisi tunataka mawazo mbadala kwa wakati huu kabla ya kufikia 2015!.
 
'
mkuu hao wameshalewa na mabahasha ya jairo kupitia wanasiasa, watakwambia uchumi umekuwa kwa kasi, bora Dr.Slaa ambaye haumi umi maneno, wanazuoni wakisema kweli watapigwa ban km daudi balali.
 
Naunga mkono hoja 100% slaa aje atueleze ni hatua gani angechukua kumaliza matatizo haya ya umeme then wananchi wata compare na hatua za Jk then tutajua kuwa Jk ana dhamira ipi na mustakabali wa umeme na maendeleo yetu. Tumechoka na giza jamani.
 
Hayo ni maswali ya kujibiwa na viongozi wa serikali,linalomhusu ni la hao madiwani wa Arusha tu!Nafikiri umeomba baada ya serikali kukosa majibu!
 
Hayo ni maswali ya kujibiwa na viongozi wa serikali,linalomhusu ni la hao madiwani wa Arusha tu!Nafikiri umeomba baada ya serikali kukosa majibu!

hawawezi kujibu na wala hawajui watajibu nini zaidi ya kusema giza limesababiswa na ukame na hawawezi kujigeuza wingu. tunamtaka Dr.Slaa ajibu, endapo leo hii yeye ndo rais angetumia njia gani kutatua matatizo km haya, zaidi tunataka ikiwezekana atupe na tareh ya kuingia mtaani kumtoa huyo mtu magogoni.
 
Nadhani mtoa hoja amekosea kuwahusisha mods kwenye wito kwa Slaa. Angemwita Dr Slaa mwenyewe, kwavile ni member humu, angetujibu mwenyewe. Haikuwa na haja ya kuwatuma mods. Otherwise naunga mkono hoja!
 
nime'edit mkuu, nimeondoa neno mods, sasa inaleta maana zaidi. ila ningependa km Dr. wa ukweli atakuja mods wapate taarifa mapema ili waandae kautaratibu kwa wauliza maswali kuepuka maswali yasiokuwa na tija kwa taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom