Ushindani wa Kugombea jimbo, na kutetea jimbo ndo usumbufu wa huyo bidada! Abiria Chunga Mzigo Wako VS Tutabanana Hapahapa. Mwenyewe nina mpango wa kuanza kuchukua wanaume sura ya kazi, hivi vihendsome kaaaz kweli kweli! Prehaaaa, preshaaa,
kuna rafiki yangu wakiume ameoa tena kwa ndoa kuna jambo linamsumbua...jamaa anaishi arusha pia ni mfanya kazi tena kazi yke ni yakwaida lkn kinachomsumbua niakina dada kwani anasema AMEKUTANA NA AKINA DADA WENGI LKN ZAIDI YA WATANO WAMEKUWA WAKITOA SIFA NYINGI KWAKE mf;we nimrefu,unamacho mazuri,nimpole,mcheshi,mtanashati...mara ya mwisho anasema alivyokuwa akipishana na mmoja kati ya hao akina dada alianza kucheka akamuuliza kulikoni yule dada akajibu Daaah kweli mkeo anapata tabu sana,jamaa akamwambia kivipi yule dada akasema aaah basi tu! Jamaa akaamua kuja kuniomba ushauli binafsi nimeamua niwashilikishe tumshauli kwa pamoja au mnaonaje...!
Weka picha yake kwa msaada zaidi

mwambie huyo kijana wako aache kujishtukia. Kusifiwa kidogo tu anaweweseka, akitongozwa sio atazimia kabisa.
\mwambie awatimizie wadada haja za mioyo yao.......
being hb inatofautiana form mtu na mtu,hivyo kama hamna picha,huyo rafiki yako atakuwa na matatizo mwenyewe.halafu huyo jamaa asijishtukie, hicho ni kitu cha kawaida na isitosha hao wanaomfata wanajua udhaifu wake na wanauhakika mwishi wa siku watafanikiwa,mwambie ukubwa sio kuoa tu bali kuwa na msimamo.tutakuwa hatujamtendea haki lkn amini ni hb wa ukweli...!
mwambie awatimizie wadada haja za mioyo yao.......
kwel wanaume warefu walojengeka miili wanavutia mno na competion ni kubwa kwa mashostito kwan hawako wengi wenye sifa hizo
Tuwe tunatumia vizuri nafasi ya kuanzisha thread!
\
kwani wewe Preta hautaki akutimizie.