baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Napatashida kukubali hizi pongezi zinazotolewa kila kona kwa Samatha... kwa mtazamo wangu naona zina chembechembe za kisiasa ndani yake.... sikuona umuhimu kwa cha ccm kuchukua media kwaajili ya kumpongeza Samatha...tunakubali kafanya vizuri tena sana...
kwa sababu tiyali serikali ilikwishampongeza tena kwa kuzungushwa na gari la waziri... na ccm ndiyo inayoongoza inchi..... sasa kulikuwa na umuhimu gani kwa chama kujitokeza tena adharani eti kutoa pongezi......
Jamani ebu tuacheni siasa katika kila jambo... kuna mambo mengi yakufanya..