Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

Wakulu, mimi nimebahatika kukutana na huyu kijana, Deo, mara kadhaa kule Ludewa. Ninamfahamu kiasi. Deo ni kijana mcheshi na mwepesi wa kusaidia wenzake, pale inapobidi. Tabia hii iliianza toka akiwa shule. Kwa kifupi yeye ni mtu wa watu, na hiki ndicho kinachofanya wana - Ludewa wamkubali.

Ndani ya Chama (CCM) huyu dogo mwenye umri wa miaka 38 anakubalika pia. Na amepewa nyadhifa za kadhaa; Deo Filikunjombe ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa Wilaya, Ni Mlezi wa SKAUTI wa Wilaya ya Ludewa, Ni Kamanda (Mpya) wa Vijana wa Wilaya, Ni Mlezi wa Iringa Mjini - Manispaa ya Iringa, Ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Iringa, Ni Mjumbe wa wa Mkutano Mkuu wa Taifa, na ni Mlezi wa Chipukizi - CCM Taifa.

Nimemsikiliza kwa makini - kwenye mahojiano - akisema kuwa bado hajafanya uamuzi kama atagombea au la. Kwa maoni yangu, Deo akigombea atamwacha professor Mwalyosi kwa zaidi ya asilimia 90%.
 
kama kwa miaka 38 bado tunamuita dogo basi kazi bado tunayo.....

Harafu hayo mavyeo yote aliyonayo mi nadhani yanamtosha tu, mkimuongezea na ubunge ndio tutarudi kwenye yale yale ya mbunge wa Iringa mjini ni mkuu wa mkoa wa Arusha..... aka conflict of interests
 
DEO?jamani mnaompigia debe huyu mtu mtakuja kulia mbele ya safari,jamaa ni fisadi kwa kiwango chake,yaani hawavumi lakini wamo.
namfahamu deo toka anakaa kota za benki kwa ndg yake,akiwa anamsaidia shughuli za kupiga picha za video kwenye masherehe mpaka akaenda kusoma makelele kisha kuibukia upolisi akiwa kama mwandishi wa habari na kisha kutimkia world vision.
UFISADI WA DEO
gari yake ya kwanza kununua ilikuwa mark2,alisafiri nayo kisha akaenda kuigongesha mpaka ikawa light off na bima wakamlipa,akaenda dubai kununua land cruiser.
akiwa world vision,alikuwa mkuu wa kitengo cha habari(kama sikosei),jamaa akawa anajipa safari za kijanja na kupeleka gharama kubwa za safari ili alipwe pesa nyingi,na kweli alizikusanya kweli kweli mpaka akawa anajiita abromovich(kwa wale wakazi wa kijichi hakuna asiyemjua huyu jamaa jinsi alivyo mr misifa)
jamaa alikuwa na range rover,siku hiyo akiwa ametoka mjini akawa amelipaki lile range maeneo ya bar na yeye akiwa anapata kinywaji mara lile gari likaanza kutoa moshi kwenye bonnet,watu wa karibu wakaona wakajaa ili kusaidia,maana walijua linaweza kuungua,lakini kwa mshangao wa wengi jamaa akawa anawakataza watu kusogelea na gari na kutoa msaada wowote,mwishowe moto ukawaka na kuliunguza lile range mpaka kubaki mabati machakavu,na wakati gari linawaka yeye ndio kwanza akaagiza bia na kushushia.(kwa hili la gari kuungua moto hakuna asiyejua kuwa jamaa alicheza issue ya kulichoma ili alipwe na bima,mwenye doubt aende kijichi akaulize)
jamaa hakutoka kwa hiyari world vision,kwani jamaa alishaambia kuwa mara mkataba wake utakapokwisha hatoongezewa mwingine ndio maana akaenda ikulu kama mwandishi.
My take;
kwa kifupi ni kwamba jamaa ni anaumendea ubunge ili aendeleze uabromovich wake,sidhani kama ana moyo na nia ya kuwa mwakilishi wa wananchi wa hilo jimbo
 
hm!!! mmeshaanza,anyway ukweli tutaujua tu muda unavyozidi kusonga.
 
Atamwacha Professor Mwalyosi kwa ajili ya hiyo ambulance aliyopewa na .....? Tatizo hapa ni kuwa wote wawili, Filikunjombe na Mwalyosi wanalelewa na fisadi mmoja anayemezea mate chuma cha Liganga na makaa ya mawe ya Mchuchuma na sasa naye ameanzisha magazeti ya kumlainishia njia (Mkakati, Nyundo n.k.). Tofauti ya Mwalyosi na Filikunjombe ni viwango vya umamluki kwa mhindi huyu. Kwa Mwalyosi ni 100%. Kwa Filikunjombe inaweza kuwa 200% kwa tamaa ya fisi aliyonayo.
 
hayo ya kuungua magari si kazi yetu, ninaamini watu wa bima [pamoja na polisi] ni watu makini katika utendaji wao.

huku ludewa, kama huyu bwana Filikunjombe atagombea ubunge sisi wana ludewa tunamwona kuwa atakuwa mwakilishi mwenye mtizamo mpana, kwani amekuwa karibu na jamii ktk nyanja mbali mbali, si leo tangu miaka mingi iliyopita, kwa mfano Filikunjombe anasomesha watoto yatima zaidi ya 200 tangu mwaka juzi.

Go Filikunjombe go.
 
Atamwacha Professor Mwalyosi kwa ajili ya hiyo ambulance aliyopewa na .....? Tatizo hapa ni kuwa wote wawili, Filikunjombe na Mwalyosi wanalelewa na fisadi mmoja anayemezea mate chuma cha Liganga na makaa ya mawe ya Mchuchuma na sasa naye ameanzisha magazeti ya kumlainishia njia (Mkakati, Nyundo n.k.). Tofauti ya Mwalyosi na Filikunjombe ni viwango vya umamluki kwa mhindi huyu. Kwa Mwalyosi ni 100%. Kwa Filikunjombe inaweza kuwa 200% kwa tamaa ya fisi aliyonayo.
Tuwe wawazi huku Ludewa toka tupate Uhuru haijawahi kutokea, hata kwa mbunge aliyeko madarakani, kujitolea kwa manufaa ya wananchi kwa kiwango hiki - ni nani amewahi kutoa gari la wagonjwa bure kwa watu wa Manda? moyo wake Filikunjombe wa kujitolea na ukaribu wake kwa wana Ludewa, vinatutia moyo mno.
 
huyo mhindi yupo karibu na mwalyosi, ndo maana hata wafanyakazi wa MM one wakija huku huwa wana mpigia chapuo kuwa mwalyosi aendelee, kitu ambacho wananchi hawataki - na kiendelea hivi wana ludewa tutamwadhibu huyu mhindi - asituchagulie viongozi.
 
DEO?
jamaa alikuwa na range rover,siku hiyo akiwa ametoka mjini akawa amelipaki lile range maeneo ya bar na yeye akiwa anapata kinywaji mara lile gari likaanza kutoa moshi kwenye bonnet,.......sidhani kama ana moyo na nia ya kuwa mwakilishi wa wananchi wa hilo jimbo

Duh sasa kam ni hivi inawezekana kila mtu ni fisadi, hata mimi....ofcourse huu ufisadi inabidi upate maana halisi. Anyway wenye data pengine mnajua zaidi. Mimi niseme kitu hapa kuhusu hilo range lililoungua...hapo lilipoungua mimi binafsi nishawahi kufika mwaka jana,bado palikuwa na alama...lakini hapo lilipoungua si baa(bar) ni jirani na shule (Neluka Secondary) ni barabarani kando ya nyumba ya mtu na pana kibanda cha biashara.

Kwa hiyo hapo mdau naona umechapia, unatudanganya mchana kweupe kuwa alipaki bar, hii si kweli. Sifahamu zaidi hayo mengine lakini kwa hilo umedanganya. Kama hilo umedanya kwa mimi nisiye mfahamu huyu Bw Deo ninapatwa na shaka juu ya ukamili na uhakika wa hizo data nyingine ulizotupa hapa.

Anyway,kama nilivyosema awali, whether atagombea au hatagombea ni yeye mwenyewe wa kuamua. Whether anawafaa watu wa huko Ludewa au hawafai ni jukumu lao kupembua maana wao ndio watakaopiga kura kumchagua mbunge wao.

Nawakilisha
 
Tuwe wawazi huku Ludewa toka tupate Uhuru haijawahi kutokea, hata kwa mbunge aliyeko madarakani, kujitolea kwa manufaa ya wananchi kwa kiwango hiki - ni nani amewahi kutoa gari la wagonjwa bure kwa watu wa Manda? moyo wake Filikunjombe wa kujitolea na ukaribu wake kwa wana Ludewa, vinatutia moyo mno.

Wake up guys! why now? Is it a mere coincidence au kuna jambo? Try to look at the things in perspective and try to avoid being so sentimental.
 
Ndugu wanaludewa heshima zenu.

Kuna tuhuma mbalimbali zimetolewa kuhusu huyu Deo na Prof. na Uthibitisho wake unaweza ukawa mgumu. Mimi Hoja yangu kubwa ni kwamba kwa muda mrefu tumekuwa hatuna Dira na mwelekeo (Vision and Mission ) maendeleo yetu kwa Ludewa. Kushindikana kwa kuwepo na hilo hatuna Mpango Mkakati (Strategic Plan ) wa kutafuta mzizi wa matatizo ya Ludewa na kuweka Mpango elekezi ((Implementation Program)) wa kuyatatua kwa kipindi fulani.

Hivyo vingekuwepo ingekuwa rahisi sana kupima nani anakuja na utekelezaji unaoeleweka kuhusiana na matatizo yetu kule Ludewa ukiachilia mbali hizi ilani za vyama ambazo ni flagile na zinabadilika kila siku wakati matatizo yz msingi ni yaleyale.

Vyama vimetumia ilanizao kama ndio Mipango ya maendeleo ya muda ya muda Mrefu kumbe sivyo.

Mapendekezo yangu ni kwamba:

1. Lazima tuweke mipango ya Muda mrefu ya Wanaludewa kuhusu mustakabli wa maendeleo yetu.

2. Mbunge anayechanguliwa lazima tumpime kutokana na jinsi gani ameweza kutekeleza yale yaliyomo kwenye program yetu ya maendeleo na sio ilani ya chama. Kwa sasa kila mtu anajificha kwenye chama wakati yeye anachaguliwa na wananchi amabao ndio wana hitakio maendeleo.

3. Kuwepo na vipimo vya wazi vinavyo ambatana na muda wa utekelezaji kuonesha mafanikio ya utekelezaji wa yale yaliyomo kwenye program.

Tukifanikiwa kuweka hili kwa muono wangu kugombea inakuwa ni rahisi kwa kuwa tunacho hitaji sisi ni jinsi gani mgombea huyo atatushawishi kwa makakati wake kuwa ataweza kutekeleza yale tuliyo kubaliana kwenye program na kwa muda gani.

Inapo onekana mbunge huyo anadalaili zote za kushindwa kufikia yale tuliyo ya weka kwenye programu si anapigiwa kura ya kuto aminika na uchaguzi mwingine unafanyika. hayo yamo kwenye katika (impenchment ).

Lakini kwa issue ya kusema mtu katoa msaada wa gari , mbuzi au dawa, kajenga barabara ndio viwe vipimo vya kumchagua hali iko wazi kabisa unaona mtu huyu naendeleza utegemezi (Uombaomba) kwa watu waludewa na hajengi Kujitegemea inakuwa ni hatari sana kwa kizazi hiki na kijacho.

Ni kama vile sasa tuna shindana kutengenza viongozi Ombaomba badala ya kutafuta watu watakao weza kuwamotivate wanaludewa wakatatatua matatizo yao wenyewe kwa kutumia maliasili walizo nazo.

naomba kuwasilisha.
 
jamani wanao mkata Deo niwale wasio zitendea haki hata nafsi zao sababu msaada aloutoa kwa wana Ludewa sijawahi kuona hata wenzangu pia wanaotokea Ludewa mnaweza hakikisha hilo, sasa basi tusimchoshe huyu kijana <Deo> kwa maneno yasio na msingi
lamuhimu nikumpa support na Kura za ndio kwa wingi iliweze kutuonyesha mabadiliko kwa vizazi vijavyo nikiwa kama Mwana Ludewa Nampa hongera sana Deo,kwa juhudi aloifanya
kwa utuwake wakujitolea kwa wana Ludewa niwakati wakuwapa vijana nafasi iliwaonyeshe umahiri wao.Deo Tunakupenda wakitaka wasitake Tunakupenda na usijali Watakubali matokeo labda ikiwa sio wana Ludewa wenye mioyo ya Huruma na wenye shukurani.
 
Hivi wakuu mnalipia hizi promo mnazofanya hapa JF? Mkulu Invisible huu mwaka wa uchaguzi bana, ndio muda muafaka wa ku-raise stake.
 
DEO?jamani mnaompigia debe huyu mtu mtakuja kulia mbele ya safari,jamaa ni fisadi kwa kiwango chake,yaani hawavumi lakini wamo.
Mtimti unaonekana kua wewe una chuki binafsi kwa Deo sababu huna la msingi unaloliongea hata moja Mafisadi unawajua na wewe pia unawezakana kua fisadi lakini

wa kutia sumu roho zawatu, kama kweli unapenda maendeleo ya wana Ludewa,ungekwenda kuongea siku yakusimikwa Deo ili tujue kua unauchungu sana na wana Ludewa,wacha chuki binafsi Mtimti safisha roho yako na ukubali matokeo bado tunampenda Deo na tutazidi kumpenda na wewe unaweza kumpenda vile vile hujachelewa bado.
 
Kuna waliomwekea mikwara Deo Filikhunjombi mikwara ya kuwa mbunge wa Ludewa hapa jamii forums mnaona nanavyofurukuta jimboni mwake sasa?
 
Huyo jamaa ni muhuni tu....nakumbuka haliwai kuchangia bungeni akadai CHADEMA hawana ustaarabu kwa kutoka bungeni....Naona tusijadili mambo ya huyu jamaa katika hii forum ya great thinkers.....huyu aliyeleta hii post katumwa na huyo jamaa......
 
"sherehe za kusimikwa kwa kamanda mpya wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uv-cc), bw. Deo filikunjombe zilitikisa mji wa ludewa mkoani iringa baada ya wana ccm kutoka kata zote 22 za wilaya hiyo kushiriki huku wakiwa na furaha kubwa. shamrashamra hizo zilipambwa na wanaccm waliokuwa wamevaa fulana zenye maandishi yanayosomeka 'tunampenda deo filikunjombe', baadaye, bw.filikunjombe alikabidhi msaada wa gari la wagonjwa katika kituo cha afya manda kwani ilielezwa kuwa wagonjwa walikuwa wakipata shida kubwa kutokana na kukosa huduma hiyo."

mwaka huu kazi ipo ndani na nje ya chama.

wewe na huyo kunjombe sijui..................mna matatizo...njoo nikupe ofa ya kwenda mirembe....uwezi ukatuambia hati wamevaa t-shirt tunakupenda...shiiiiit...watu wa ludewa wamechoka kuliko kawaida..halafu mnatuletea ujinga weneu hapa.....
 
kama kwa miaka 38 bado tunamuita dogo basi kazi bado tunayo.....

Harafu hayo mavyeo yote aliyonayo mi nadhani yanamtosha tu, mkimuongezea na ubunge ndio tutarudi kwenye yale yale ya mbunge wa Iringa mjini ni mkuu wa mkoa wa Arusha..... aka conflict of interests
masahihisho
Mzee mbunge wa iringa si mkuu wa mkoa wa arusha bali aliyekuwa mbunge wa ccm iringa mjini monica mbega ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro. hii ni sehem ukweli wenye utafiti si brabra
 
kingunge naye kijana,
waasila naye kijana,
malcela naye kijana,
dr. bilal naye kijana,

ni ujana ujana tu,
kwa uongo uongo tu,
kwa faida ya tumbo tu,
aah! ujana we thubutu.
 
Wanajamii forums tuwe watu tuliopevuka katika uelewa. Kama mtanzania anafanya mema kwa nchi yetu tukubaliane naye. Si CCM wote waliooza. Angalieni tunavyoona moto wa Akina Samweli Sita na wengine. Deo Filikunjombe Haule anafanya kazi nzuri jimboni mwake kuliko wabunge wote waliomtangulia. Sema cho chote kibaya kuhusu mbunge wao watakushangaa.
Hata Zito Kabwe juzi kamwagia sifa nyingi tu Filikunjombe walipokuwa wote kule Ludewa kutembelea miradi ya machimbo ya madini ya Chuma na Makaa ya mawe.
 
Back
Top Bottom