Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
6,996
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.

Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.

Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
 
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.Nimeangalia wale wanaopata hudumaza kisheria kwenye ofisi yake..wanmshukuru sana.Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MARC hawai inovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.

Makonda ni Mkuu wa Mkoa wa kuigwa na wenzie wengi.
 
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.Nimeangalia wale wanaopata hudumaza kisheria kwenye ofisi yake..wanmshukuru sana.Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MARC hawai inovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.

Uko sahihi...RC Makonda ni mbunifu....lakini anachukiwa kwa kuwa wanaona anafanikiwa...watanzania tulio wengi hupenda wenzetu waharibikiwe na halafu tujifanye tunasikitika au kumkejeli waziwazi
 
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.

Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.

Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
kwa akili hizi na za viongozi wenu mnaofikiria mtokeje kisiasa badala ya kutengeneza mifumo itakayoongeza access ya wananchi kwa kila huduma waitakayo lazima nchi ife masikini.
 
Uko sahihi...RC Makonda ni mbunifu....lakini anachukiwa kwa kuwa wanaona anafanikiwa...watanzania tulio wengi hupenda wenzetu waharibikiwe na halafu tujifanye tunasikitika au kumkejeli waziwazi
Nani anamchukia?
 
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.

Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.

Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Anajitahidi kufanya wajibu kwa matangazo mengi akishindana na matangazo ya coca cola. Waafrika bana mtu akifanya kazi yake anasifiwa sana. Hivi huku shithole countries hakuna kitu kama wajibu???
 
Hafai kabisa huyu Nyanda, nawashangaa wote mnaomsifia.

Nadhani mmekosa kazi za kufanya hasa nyie wa mikoani hamjitambui kabisa.
Wew unajitambua kwa lipi na umemsaidia nani atakayejivunia uwepo wako sehemu yoyote ,,kwelii hii matatzo ya kutokuwa na uwezo wa kusaidia wala kufikiri ndio mnaongozwa na chuki,wivu
 
Back
Top Bottom