Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.

Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.

Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
 
Hafai kabisa huyu Nyanda, nawashangaa wote mnaomsifia.

Nadhani mmekosa kazi za kufanya hasa nyie wa mikoani hamjitambui kabisa.
Ungelikuwa wewe unajitambua unge comment hivi?
Unajuaje walio comment wote ni wamikoani?.
 
Kazi ni Jambo mmoja na jinai ni Jambo jingine issue ni kwanini mtu mwenye jinai yupo huru wakati wenzake wapi magereza?
Dah hate to admit this ila makonda he works sooo hard .. what he does is touch peoples lives directly.. his different he stands out.. kuna siku i saw him hold a very sick
Child the way he was hugging that child in his arms soo protective of the child i was so touched... sasa sijui bana kama kweli this man tunayosikia ninkweli ila jama kwenye kazi anapiga hadi unashindwa kumchukia...
ki
 
Alichokifanikisha ni kipi?
1.Walimu kusafir bure
2.Wamachinga kuondolewa katkat ya jiji
3.Mti wangu mti wako
4.Wauza magari
5.Zawadi za watendaji wa mtaa
6.Madawa ya kulevya
7.........
8......
9......
10 Msaada kwa wanyonge waliodhurumiwa
 
Makonda ni mbunifu mzuri asiyependa/sikiliza ushauri. Ni vitu vingapi ameibua tangu aukwae u-RAS DSM? Ni mangapi yametekelezeka hadi kufikia mwisho?

Madawa ya kulevya aliingilia akaishia kulialia tu makanisani. Isingekua Baba kuingilia kati dogo angezalilika.
Ofisi za walimu sijui zimefia wapi maana hazisikiki tena, hata hili la msaada wa kisheria naliona litakavyoyeyuka hapo itakafika hatua ya mahakamani.
Kuwa na mipango mingi bila kuwa na mbinu za kuifanikisha hadi mwisho, ukiwa kiongozi mkubwa wakutegemewa na wananchi masikini wa kitanzania ni kuwaongezea matatizo zaidi ya kuwasaidia
Na usishangae aliyeleta uzi na wanaomsifia wako kwenye payroll ya Bashite,
 
Makonda ni katika wasaidizi makini wa Rais Magufuli
 
Na usishangae aliyeleta uzi na wanaomsifia wako kwenye payroll ya Bashite,
Makonda anafanya mambo makubwa kushinda hao baadhi ya Maprofessa kwenye baraza la mawaziri huo ubashite unatoka wapi.
 
Makonda anafanya mambo makubwa kushinda hao baadhi ya Maprofessa kwenye baraza la mawaziri huo ubashite unatoka wapi.
Maprofesa sio wanasiasa, ni watendaji. Kuwapa mamlaka ya kichama/kisiasa tusitegemee kuona ufanisi wao.

Maprofesa/ madakitari/ wasomi wetu Waachwe watufundishie vijana wetu mavyuoni pia watuandalie machapisho na muongozo mbalimbali yakutupeleka kwenye maendeleo na mabadiliko ya dunia lakini sio siasa uchwara za kiafrika
 
Uko sahihi...RC Makonda ni mbunifu....lakini anachukiwa kwa kuwa wanaona anafanikiwa...watanzania tulio wengi hupenda wenzetu waharibikiwe na halafu tujifanye tunasikitika au kumkejeli waziwazi
Haaahaaaaaa.....jamaa yuko vizuri sana. Anajaribu mno ingawa kuna mambo huwa yanatatiza. Labda umri. Atakuja kubadilika.
Jama anawito wa uongozi anastahiri pongezi
 
Back
Top Bottom