Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Lazima ajitahidi kwa sababu anajua makosa yake!
Uko sahihi sana. Anafanya zaidi ili kujipa uhalali wa kuwa katika nafasi ambayo hata nafsi yake inamsuta kuwa hastahili kuwa nayo.
 
Kuna daktari bingwa kisha surgeon Lifukuzwa Morogoro kisa cheti cha form 4!
 
Hata ufanye jema, kama unashiriki kwenye misheni za mauaji, jitihada zako zote haziwezi kuhesabika wala kuonekana. Daima utahesabika ni shetani.
 
mimi na malizia kusema makonda hata uRaisi a naweza hao hao hao hao nimeludia kwakusstza wasio mpenda makonda ni wauza madawa yakulevya mimi nasema makonda chapakazi wanao chukia wajinjoge au wahamie nchijilani
 
Umeandika lugha gani?
 
Usishangae ukakuta mtu mwenye uandishi wa hivi ana degree. Kweli bongo bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom