Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

kusema ukweli huyo jamaa anaoneakana ana malengo ya mbali sana ktk siasa na ni nzuri,
pia anakuwaga na idea flani hivi za tofauti ambazo zingepata utekelezaji mzuri na ushauri mzuri basi angefanikiwa sana ktk adhma yake ktk siasa,

sasa tatizo ni kupenda tention sijui tuseme...wengine mnaita kiki, ila huyo jamaa nikimtafakari kwa jicho la tofauti anafikirisha ubongi wake ss sijui huwa anafikilisha hadi anaoitiliza kabisaa sielewi...

pamoja na yoote anamapungufu yake mengi tu tunayasikia...ajirekebishe aombe radhi awe safi na huru kuwatumikia wananchi,
asikilize ushauri awe vizuri zaidi.
 
Hii meza niliyokaa muda mrefu muhudumu hajafika kutuhudumia.Subiri nimtafute meneja
 
Uko sahihi...RC Makonda ni mbunifu....lakini anachukiwa kwa kuwa wanaona anafanikiwa...watanzania tulio wengi hupenda wenzetu waharibikiwe na halafu tujifanye tunasikitika au kumkejeli waziwazi
Makonda kwenye kazi ni mtu hodari Sana tatizo ni mtu wa visasi na anapenda kutumia matatizo binafsi kwenye madaraka na cheo hiyo ni moja ya weakness
 
Kati ya watu waliokuwa wanamchukia Mh Makonda ni Mimi tena sana,Tangu Yupo Muccobs Ila Leo hii Mimi Ni Mshabiki Mkubwa Wa Maendeleo Na Namuona Mh Makonda Ni Kinara Wa Kuleta Maendeleo
Kutoka Moyoni Namkubali Sana Mh Makonda Na Namuombea Mungu Sana Atafanya Makubwa Sana
Respect Kwako Mh Makonda
 
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.

Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.

Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Vipi walim wanapanda bure madaladala?
Cc: Chabruma
 
Hapa Pwani tunamatatizo na hatuna mtu wa kutusaidia.Mkuu wa mkoa wa Pwani amwige Makonda.
 
Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.

Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.

Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Aisee wengine ni matatizo kama huku kwetu Kuna DC kafikia hatua ya kujiita Trump ni shida tupu na mikwara utekelezaji zeeeero
 
Hafai kabisa huyu Nyanda, nawashangaa wote mnaomsifia.

Nadhani mmekosa kazi za kufanya hasa nyie wa mikoani hamjitambui kabisa.
Mkuu elezea zaidi. Neno moja tu hafai halitoshi toa sababu na uthibitishe. La sivyo jukwaa litakulemea.
 
Kweli mwenyewe nilikua simpendi Makonda ila anajitahidi sana. Aendelee kuwa hivyo
 
Jambo rahisi sana siyo kweli kwamba kila aliye jela hakuwahi kutenda Jambo jema katika jamii ,na siyo kweli kwamba kila asiye na vyeti hana uwezo lakini Tukiwa na akili zetu bila kilevi chochote watumishi zaidi ya elfu kumi waliondolewa kwa sababu ya taratibu za kisheria ambazo sisi wenyewe tuliziweka na mheshimiwa raisi anatuongoza kwazo katika watumishi walioondoka walikuwepo madaktari ambao wameokoa Maisha ya watu wengi sana vijijini . Hivi ni kazi gani muhimu kuliko kuokoa maisha ya binadamu?. Swala la kugushi ni jinai hata kama baada ya kugushi utatenda wema Utakao mpendeza mungu haitasaidia . So kazi tutapongeza lakini double standard kwenye utekelezaji wa sheria ni kitu kibaya kuliko kila kitu kwa sababu madhara yake yataishi muda mrefu sana ...mungu awape hekima mfikiri vema .
 
Makonda ni mbunifu mzuri asiyependa/sikiliza ushauri. Ni vitu vingapi ameibua tangu aukwae u-RAS DSM? Ni mangapi yametekelezeka hadi kufikia mwisho?

Madawa ya kulevya aliingilia akaishia kulialia tu makanisani. Isingekua Baba kuingilia kati dogo angezalilika.
Ofisi za walimu sijui zimefia wapi maana hazisikiki tena, hata hili la msaada wa kisheria naliona litakavyoyeyuka hapo itakafika hatua ya mahakamani.
Kuwa na mipango mingi bila kuwa na mbinu za kuifanikisha hadi mwisho, ukiwa kiongozi mkubwa wakutegemewa na wananchi masikini wa kitanzania ni kuwaongezea matatizo zaidi ya kuwasaidia
 
Dah hate to admit this ila makonda he works sooo hard .. what he does is touch peoples lives directly.. his different he stands out.. kuna siku i saw him hold a very sick
Child the way he was hugging that child in his arms soo protective of the child i was so touched... sasa sijui bana kama kweli this man tunayosikia ninkweli ila jama kwenye kazi anapiga hadi unashindwa kumchukia...
 
Back
Top Bottom