Tunalala tu uchi lakini!

Tunalala tu uchi lakini!

ila kulala uchi raha sana, hewa inapita kila sehemu. viungo vinapumua.
 
Ha!ha!haaaaa!!mkuu condom huwa inavaliwa pindi mtutu umesimama au yako any time ipo kikazi zaidi!!!

Mi huwa kabla haijasimama condom inafit vizur tu ikisimama ni balaa maana imenifanya nimeacha kupiga Malaya napasua sana nadhani ushapata picha😕
 
Nikilala bila nguo najisikia mwepesi sana na free! Usingizi mnoono. Hata kwa toilet home natoa zote nakaa nakuwa busy na Ipad.
 
kiukwel huwa silali na nguo nimeshazoea hivyo... ila kutokana na mada hii nitajifunza.
 
Hapo kwenye ndoto hujakosea wapo watu aina hiyo anaweza akaenda chukua maji mtungini akanywa akamaliza kisha akarudi lala kitandani, vitendo vyote hivyo vinafanyika yeye yupo usingizini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom