Tunalaani Maandamano Haramu ya Kigoma-Msafiri Wamalwa

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Katibu wa Chadema mkoani Kigoma Msafiri Wamalwa ametoa tamko la kulaani vikali maandamano ya watu wanaojiita wanachadema mkoani Kigoma Jumapili.

Akizungumza na waandishi mjini Kigoma Katibu huyo amelaani kitendo cha kuchoma moto bendera,kadi na mali mbalimbali za chama.

Amesema kitendo hicho kimefanywa na wahuni wachache wasiokitakia mema chama na amesema wahuni hao watasakwa na chama na kufunguliwa mashtaka ya jinai.

Ameongeza kwamba Chadema mkoa Kigoma kinatambua na kuyaheshimu maamuzi yote ya Kamati Kuu ya kuwafukuza wasaliti kwenye uongozi wa chama.

Kiongozi huyo amesema pia aliitwa ofisi ya upelelezi mkoa kueleza kuhusu chama chake kufanya maandamano haramu na akasema amewajibu polisi kwamba chama chake hakitambui maandamano hayo.

Source:Nipashe
 
Taratiiibu tutafika! Ccm imewafikisha watu mahali ambapo hata wakipewa elfu tano tu, wanasahau kwamba jana na juzi walilala na njaa! Period!
 
Katibu wa Chadema mkoani Kigoma Msafiri Wamalwa ametoa tamko la kulaani vikali maandamano ya watu wanaojiita wanachadema mkoani Kigoma Jumapili.

Akizungumza na waandishi mjini Kigoma Katibu huyo amelaani kitendo cha kuchoma moto bendera,kadi na mali mbalimbali za chama.

Amesema kitendo hicho kimefanywa na wahuni wachache wasiokitakia mema chama na amesema wahuni hao watasakwa na chama na kufunguliwa mashtaka ya jinai.

Ameongeza kwamba Chadema mkoa Kigoma kinatambua na kuyaheshimu maamuzi yote ya Kamati Kuu ya kuwafukuza wasaliti kwenye uongozi wa chama.

Kiongozi huyo amesema pia aliitwa ofisi ya upelelezi mkoa kueleza kuhusu chama chake kufanya maandamano haramu na akasema amewajibu polisi kwamba chama chake hakitambui maandamano hayo.

Source:Nipashe

Wanaotakiwa kuandamana Kigoma sio wanachama tu wa CHADEMA bali ni wale wote waliompigia kura Zitto kwani maamuzi mabovu ya CC ya Mbowe yanaweza kumfukuzisha ubunge mwakilishi wao.

Last edited by a moderator:
:A S-eek: :A S-eek: :A S-eek: :A S-eek:

.jpg
.jpg
 
Nami naungana nanyi kulaani uhuni wa CCM na vibarak wao walioandaa na kushiriki uhalifu ule.

Maamuzi ya hatima ya Zitto hayawezi kushinikizwa wala kuathiriwa na siasa mfu, za chuki, hila na ubabe kama wapambe wake wakisaidiwa na CCM wanavyotaka,
 
Wanaotakiwa kuandamana Kigoma sio wanachama tu wa CHADEMA bali ni wale wote waliompigia kura Zitto kwani maamuzi mabovu ya CC ya Mbowe yanaweza kumfukuzisha ubunge mwakilishi wao.

We kweli ni kubwa jinga haswa
 
Last edited by a moderator:
kumbe hata chadema mkipingwa mnawaita wahuni .kuna wahuni waliandamana arusha wakapigwa.iringa wakapigwa.moro wakapigwa. iremera wakapigwa.WAPIGWE TU TUMECHOKA .kuna wahuni wanapanga kuandamana kuunga mkono zitto kufukuzwa nao wapigwe
 
Ule ulikuwa mpango wa mapunguani maccm
 
kumbe hata chadema mkipingwa mnawaita wahuni .kuna wahuni waliandamana arusha wakapigwa.iringa wakapigwa.moro wakapigwa. iremera wakapigwa.WAPIGWE TU TUMECHOKA .kuna wahuni wanapanga kuandamana kuunga mkono zitto kufukuzwa nao wapigwe

Poleni sana.Mlidhani Mkuu wenu ataachwa atambe atakavyo.Kilichomtokea sasa ni simulizi.
 
sisi wana kigoma hatuna haraka subiri ijumaa baada ya kuswali mje muone

Kwanini Ijumaa?

BTW; Kwanini nyie wanaCCM ndiyo mlilipia ule mkutano wa Serena? Mtapata Faida gani?
 
kumbe hata chadema mkipingwa mnawaita wahuni .kuna wahuni waliandamana arusha wakapigwa.iringa wakapigwa.moro wakapigwa. iremera wakapigwa.WAPIGWE TU TUMECHOKA .kuna wahuni wanapanga kuandamana kuunga mkono zitto kufukuzwa nao wapigwe

wewe mwizi wa simu upo nasikia juzi umekwapua nyingine kwenye press conference ya mmeo zitto.
 
Back
Top Bottom