Tunalaani Maandamano Haramu ya Kigoma-Msafiri Wamalwa

Tunalaani Maandamano Haramu ya Kigoma-Msafiri Wamalwa

Sio kwamba unalaani uliofanya ivo munawajua acheni kudanganya uma na msiseme wale ni wahuni wa ccm kama ni wa ccm mbona hamkuwakamata?
 
Zitto anafukuzwa lini chadema? Mbona mnamchelewesha? Fukuza huyu mtu!!!

mkuu king kong 3. huyu msaliti lzm achape lapa atuachie cdm yetu ikiwa free of judas. km ana wafuasi wacha wamfuate hata tukibaki wanachama wa5 lkn ni wenye uchungu na chama poa tu. watanzania wa sasa ni waelewa sana tofauti na mwaka 47. enzi za kale wasaliti wote walikuwa wanapondwa vichwa vyao kwa mawe mbele ya halaiki.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Watanzania tulipofika leo nimatokeo ya serikali ya chama cha mapinduzi kutengeneza mazingira ya kufikiria njaa kuliko ukwelihalisi wamaedeleo ya nchi yetu, baadhi ya watanzania wakotayari kushabikia mafisadi,pale jamii au vyama vyao vinapo wadhibiti kwa mfano Mhe Chenge kujihusisha na kitendo cha rushwa katika ununuzi wa rada na kwamasikitiko mhe huyu kuanda mapokezi katika jimbo lake kwa gharama zake ilikuwadanganya watanzania kwamba ni mtu safi,pia Mhe Lage mbuge wa Tabora kuvuliwa uwenyekiti wa klabu ya Simba na kamati tendaji,ilikuwadanganyi watanzania kwamba ni mtu safi nikuandaa mapokezi kuonyesha ni muhimu katika uongozi wake kuliko maendeleo ya Simba,isitoshe waziri wa Nishati na Madini alipoondolewa katika wizara hii kwa usimamizi mbaya alianda mapokezi katika jimbo lake ilikuwadanganya watanzania kuwa mtu huyu ni safi.hali hii ndiyo iliyojitokeza Mkoani Kigoma kushabikia udhalimu. Watanzania tusipojali maendeleo ya Taifa letu na kukemea watu hawa wanaotaka kuliangamiza TAIFA LETU na kutodanganika na misaada na fedha zisizonamasilahi ya Taifa letu tutaangamia
 
Amesema kitendo hicho kimefanywa na wahuni wachache wasiokitakia mema chama na amesema wahuni hao watasakwa na chama na kufunguliwa mashtaka ya jinai.

Ameongeza kwamba Chadema mkoa Kigoma kinatambua na kuyaheshimu maamuzi yote ya Kamati Kuu ya kuwafukuza wasaliti kwenye uongozi wa chama.

Kiongozi huyo amesema pia aliitwa ofisi ya upelelezi mkoa kueleza kuhusu chama chake kufanya maandamano haramu na akasema amewajibu polisi kwamba chama chake hakitambui maandamano hayo.

Source:Nipashe

hata humu wapo wanalla mika kweli wanifanya wao ni CHADEMA, viongozi wao ni THE BIG SHOW na sixgates yani wanlalamika kama vile wao ndio watahathirika CHADEMA ikifa.
 
Last edited by a moderator:
Katibu wa Chadema mkoani Kigoma Msafiri Wamalwa ametoa tamko la kulaani vikali maandamano ya watu wanaojiita wanachadema mkoani Kigoma Jumapili. Akizungumza na waandishi mjini Kigoma Katibu huyo amelaani kitendo cha kuchoma moto bendera,kadi na mali mbalimbali za chama. Amesema kitendo hicho kimefanywa na wahuni wachache wasiokitakia mema chama na amesema wahuni hao watasakwa na chama na kufunguliwa mashtaka ya jinai. Ameongeza kwamba Chadema mkoa Kigoma kinatambua na kuyaheshimu maamuzi yote ya Kamati Kuu ya kuwafukuza wasaliti kwenye uongozi wa chama. Kiongozi huyo amesema pia aliitwa ofisi ya upelelezi mkoa kueleza kuhusu chama chake kufanya maandamano haramu na akasema amewajibu polisi kwamba chama chake hakitambui maandamano hayo. Source:Nipashe
huyo toyo hana lolote mnafiki mkubwa wakati yeye ndiye aliyeyahasisi kisha anajinyeya nyeya.
 
Taratiiibu tutafika! Ccm imewafikisha watu mahali ambapo hata wakipewa elfu tano tu, wanasahau kwamba jana na juzi walilala na njaa! Period!

Kama wewe unavyopewa kiroba na Lema na kuingia barabarani kuandamana.
 
kumbe hata chadema mkipingwa mnawaita wahuni .kuna wahuni waliandamana arusha wakapigwa.iringa wakapigwa.moro wakapigwa. iremera wakapigwa.WAPIGWE TU TUMECHOKA .kuna wahuni wanapanga kuandamana kuunga mkono zitto kufukuzwa nao wapigwe

iremera ndio wapi huko?
 
Wanaotakiwa kuandamana Kigoma sio wanachama tu wa CHADEMA bali ni wale wote waliompigia kura Zitto kwani maamuzi mabovu ya CC ya Mbowe yanaweza kumfukuzisha ubunge mwakilishi wao.



Kubwajinga. Walimpigia kura za Unaibu katibu mkuu au una maanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma huo waraka utaona kuwa unazungumzia uongozi, upungufu uliopo kwenye uongozi na namna ya kubadili uongozi, mimi binafsi niseme ieleweke kwamba hata kwenye jumuiya yoyote mambo haya yapo hasa kwa kuwa walikuwa wanaelekea kwenye uchaguzi,” sioni kwa nini Zitto na Dk Kitila waonekane wahaini kwa kupanga mikakati yao ambayo walitaka kuitekeleza kupitia uchaguzi.

“Mabadiliko ni jambo la kawaida, hali hii ya kuwaondoa kwenye nyadhifa zao inawezekana ikawagharimu Chadema na inaweza kuwagharimu zaidi wakiwafukuza uanachama,”
 
Hivi ni kweli tanesco wamepansisha umeme kqa 68%?
 
Wanaotakiwa kuandamana Kigoma sio wanachama tu wa CHADEMA bali ni wale wote waliompigia kura Zitto kwani maamuzi mabovu ya CC ya Mbowe yanaweza kumfukuzisha ubunge mwakilishi wao.


Naona walishachoka na tabia zake za usaliti manake tulitegemea watoke wanaume kwa wake watoto kwa vijana he ya rabi ana toka mdogo wake na rafiki na walipwa wa kufanya move mitaani kama kweli angekuwa na support kama anavyodai Mwandika na Kigoma mjini ni barabara
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma huo waraka utaona kuwa unazungumzia uongozi, upungufu uliopo kwenye uongozi na namna ya kubadili uongozi, mimi binafsi niseme ieleweke kwamba hata kwenye jumuiya yoyote mambo haya yapo hasa kwa kuwa walikuwa wanaelekea kwenye uchaguzi," sioni kwa nini Zitto na Dk Kitila waonekane wahaini kwa kupanga mikakati yao ambayo walitaka kuitekeleza kupitia uchaguzi.

"Mabadiliko ni jambo la kawaida, hali hii ya kuwaondoa kwenye nyadhifa zao inawezekana ikawagharimu Chadema na inaweza kuwagharimu zaidi wakiwafukuza uanachama,"

Waraka feki umetengenezwa na wasaliti for public consumption ndipo utakapojua wasaliti wamedhamiria ,press conference moderators UVCCM,UKumbi Serena bili za vinywaji na bahasha za waandishi -TISS halafu useme kuna uhalali wa kubadili uuongozi na wanaotaka ubadirike ni hao wawili na masalia wanaolipwa bei chee ya laki moja na nusu ,laki mbili,harafu uongozi ubadirishwe kabla ya muda halafu unaongoza nani agombee na nani asigombee halafu waanajidai wanahitaji demokrasia dhidi ya wahafidhina duh
 
sisi wana kigoma hatuna haraka subiri ijumaa baada ya kuswali mje muone

EBU ONDOA MAMBO YAKO YAKIBWEG.E, WHY IJUMAA BAADA YA KUSWALI? MSHENZI MKUBWA WEWE KUHUSIANISHA KUSWALI IJUMAA NA UHUNI WA UVccm

IVI ASKARI MMETONYWA ILI MSIWAZUIE HAWA WAHUNI? AU NDO MWIGULU KAZI YAKE HAINA MAKOSA
 
Back
Top Bottom