Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Mchukia Fisadi, this is too serious issue ila nashauri,kulinda heshima ya JF, lets not point fingers ila one thing for sure, siyo kiranja mkuu, wala sio SS, hawa ni wahuni fulani tuu ambao Kube amekwaruzana nao katika haya na yale.Huamini nini wakati ulimsikia kiranja mkuu wa viranja akisema kuwa atawashughulikia wote wanaomsema vibaya na wengine ameshawashughulikia?
Hivi ile kesi ya kumwagiwa tindikali ilishamalizika?This' serious. Kama si Kubenea kuwa amehama eneo hilo tungekuwa tunajadili jambo tofauti na hili. Ni kitendo cha kulaani kwa nguvu zote!
Mchukia Fisadi, this is too serious issue ila nashauri,kulinda heshima ya JF, lets not point fingers ila one thing for sure, siyo kiranja mkuu, wala sio SS, hawa ni wahuni fulani tuu ambao Kube amekwaruzana nao katika haya na yale.
Kiranja mkuu ni omni present, vijana wake hawawezi kupatafuta kwa Kubenea kwa sababu jicho lao, linamonitor every move he make, wanasikia everything he says na naamini anacop nao vizuri tuu, if not working for them, hivyo they have 101 ways to deal with him, clean, soft and natural way like smooth oparator, wale ni holigans tuu.
Naunga mkono hoja ya kulaani, na kuhamasisha tuchague mabadiliko, vinginevyo, things will always be the same again.
mtu unakuwa mkimbizi kwenye nchi yako mwenyewe? this is real bad, wako wapi wakina mama wanaojua kulia na kuomboleza waiombee nchi yetu? maana naona Mungu keshaghairi na amani imepotea kabisa.
babu yangu aliwahi niambia kuwa Tz now ni kama shamba lenye nyasi zilizokauka, siku likitiwa moto linalipuka lote. siombei tufike huko but where are we going?
Huamini nini wakati ulimsikia kiranja mkuu wa viranja akisema kuwa atawashughulikia wote wanaomsema vibaya na wengine ameshawashughulikia?
Nami naungana na wengine kulaani kitendo hiki.
Kwanza, sikubaliani na wale wanaohusisha tukio hilo na ugomvi binafsi. Kuna ushahidi usio na shaka kwamba kila gazeti linapoandika taarifa za EL na RA, Kubenea anatumiwa ujumbe wa maandishi wa vitisho. Hata sasa ambapo gazeti limeibua mapya ya EL, Kubenea ametishwa kupitia ujumbe wa simu ya mkononi SMS ambao tayari ameuripoti polisi.
Lakini jingine ni hili: Kwamba kila pale ambapo gazeti limekuwa likiibua taarifa na makala za uchambuzi zinazomhusu Lowassa, maisha ya Kubenea yanakuwa hatarini. Anatishwa na kusakamwa.
Hivyo, mimi nakunganisha tukio hilo na mambo manne.
Kwanza, Lowassa aliyeanikwa na Mwanahalisi kuwa alifuta zabuni ya CDC na kuipa kazi kampuni yake ya Richmond.
Pili, kauli ya "Bwanamkubwa" pale Dodoma, kwamba gazeti hilo limemgombanisha na viongozi wa kidini baada ya gazeti kumuanika kwamba alikataa kula chakula cha viongozi wa kidini kule Bukoba.
Tatu, makala ya yule mwanamipasho (Sofia Simba) ambaye imesababisha serikali kuja juu na kutaka kufunga gazeti.
Nne, mgogoro wa muda mrefu kati ya Rostam na Kubenea uliosababisha kufikisha mahakamani na hivi karibuni kumlipua kwamba ndiye mfadhiri mkuu wa kampeni za urais za Dk. Mohammed Gharib Bilali kule Visiwani.
Hayo ndiyo yaliyojiri kwa leo…
Wao kwa sasa wana kinga maana ni mojawapo ya watu wanaolinda ufisadi na kuchagua nani akamatwe nani aachwe na kulindwaWasubiri chadema wachukue inji hii
Ni kweli hata huyo na wengine kibao. Inaonesha kuwa hawa jamaa ndo zao kwa sasa na tuweni makini kwa sasa... du, kusema ukweli Tz sasa inakwenda kubaya zaidi. Mbona hii inataka kufanana na ile ya the late Prof wetu wa Sheria?... Tuliombee taifa letu limgeukie Mungu.
Hiizi ni habari za kusikitisha sana, ninamuombea sana kwa Mungu ndugu yangu Kubenea, Mungu akuongoze na kukulinda na mafisadi wasio na huruma kwa Taifa, Wananchi wake, Serikali mpaka sasa Waandishi Wa habari, Saeed wembe uwe ni ule ule.
Otherwise:-
Unajua recently nilikuwa bungeni Dodoma na I had little nice chat na RO, well I was humbled na how well he was current na JF na some of us kama mimi na Mkulu Wangu Mwanakijiji, infact I was proud kwamba tunasikika huko juu na alinishauri sana kwamba tujaribu kuwa wakweli na nifikishe salam zake za heri back na niwe mkweli na niliyoyaona pale, Well Mkuu RO heshima mbele sana mkuu hasa kwa ustaraabu wako ulionionyesha kwamba it is okay kutofautiana kimawazo kuhusu muelekeo wa uongozi wa taifa, bila kukasirikiana wala visasi I was impressed mkuu, pia heshima zangu sa juu sana kwa Viongozi wengine niliobahatika ku-chat nao kama Dr. Slaa, Zitto, Lowassa, Mahanga, Nchimbi, Kajege, Mkullo, PM Pinda, CDF - Gen. Mwamunyange, Mwakyembe, Spika Sitta, Masha, Aunt Sophia, na Mh. Membe pamoja na wengineo wengi ambao walinifahmaisha kwamba they were well aware of JF na some of us na kwamba wako okay na most of Constructive Criticism from here, heshima na salute kwa all members hapa.
Kwa heri ya kuonana tena!
FMEs!