Nchi hii inamambo mazito kusadikika..
kwa sababu ubenea alishaanza kutishiwa muda mrefu kuna watu wakubwa wako Responsible
na haya mambo,inasikitisha sana kwa nchi mnayodai ina amani na upendo
Amani hiyo iko wapi??????????????????????????
Ni vema katika kampeni za uchaguzi huu, hili suala la mafisadi (ambao ndio hao hao viongozi) kutishia maisha ya vijana wa kizalendo wanaofichua ukweli likawekwa wazi kwa wananchi ili wajue kuwa watoto/vijana wao wanaowatetea wako hatarini lakini wenye uwezo wa kulinda maisha yao ni wao wenyewe(wananchi) kwa kupiga kura kuondoa utawala dhalimu unaotishia maisha ya watoto wao. Kura hizo za uchungu zitaleta mabadiliko na usalama wa nchi. Lazima waeleweshwe maana hadaa za CCM sio mchezo.
Hivi video clip ya hii hotuba yaweza patikana? Inafaa sana kwa kipindi hiki, ili watu wajue wanayetaka kumchagua kuwa kiongozi wao ana malengo gani kwa raia wake! inatisha sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.