Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

Kuna wakati tuache kulalamika sana baadala yake tucheze na opportunities hata kama sisi ni wa uswazi tutapenya tu....Ndama mtoto wa ng'ombe, Papaa Msofe, Shikuba, Chonji, Hussein pamba kali, niki wa pili, nk nk hawa wote ni wa uswazi ambao waliamua kupambana kivyao gizani, mwangani, halali, haramu nk leo hii nao ni watu....

Duniani kote hakuna connection na michongo ipo tu, tofauti yao na sisi ni wao kutengeneza mifumo rahisi ya kuishi kwa watu wao...Sasa sisi hio mifumo hatuna, tulale tusubiri CCM itoke hapana ni kuminyana nao tu mwanzo mwisho hata ukiweza kufanya mapinduzi wewe fanya tu uwe Rais kwa namna yako.... Leo hii Haji Manara naye mtu katika watu anatambulika juu mpaka chini...JIKOMBOE...
Siri ya mafanikio ni SIRI.
 
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
January anapanga safu ya 2030 mkuu, Gachuma ana ushawishi sn kanda ya ziwa
 
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Gachuma hajawahi kukamatwa bro,angalia kumbukumbu zako vizuri

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
mhalifu ni aliyehukumiwa kifungo jela na mahakama zaidi ya hapo sio mhalifu ni uonevuvwa awamu iliyopita kutumia polisi kubambikia kesi siziso na kichwa wala miguu,hushangai upelelezi kuchukua miaka minne baadaye mtu anaachiwa. Ilikuwa awamu ya kijambazi ya kutaka fedha za wenye nazo.
Hata hii awamu ni hatari zaidi, muda utasema
 
Kinachokwenda kuvalishwa hapa ni makundi yakiutawala ambayo, utaishi vizuri tu flani akiwa Rais lakini ikiwa tofauti utaishia kulia na kusaga meno. Tukiendelea na huu mfumo wakula nchi kirafiki na kidini au kikanda tunamomonyoa hata kile kidogo kilichobaki kutuunganisha
Well said tuna mfumo mbovu sn wa kiutawala
 
Hivi huyu jk alizikataa mimba zenu nini?!! Mbona mnamsakama sana? Kila kitu jk, hv mnafikiri mtaweza kumshusha kihivyo? Aliyepewa kapewa tu, nyie pambabeni tu na hali zenu!!
Unatakiwa kukomaa kiakili, mitusi ni I shara ya kukosa ukomavu wa akili. Hatuzungumzii mtu hapa bali ufisadi wake kama escrow etc. Hatumchukii ila tunachukia tamaa zake za kufisadi
 
Wameshasahau enzi za CCM ya Kikwete, wanachama kuzomewa na magwanda yao.
JPM kairudisha heshima,wanaona watafanikiwa tu huko mbele!.
Badala ya kuweka watu wasiona na tuhuma,wanawarudisha akina Msechu,Yule jamaa wa NBC wote wamewekwa TANESCO.
Jueni kila kitu kina mwisho.
Alirudisha heshima ya CCM au alizuia vyama vingine kufanya siasa kwa ubabe kinyume na katiba!

Nyinyi watu wengine sijui huwa mnafikiri kwa kutumia nini!
 
Unatakiwa kukomaa kiakili, mitusi ni I shara ya kukosa ukomavu wa akili. Hatuzungumzii mtu hapa bali ufisadi wake kama escrow etc. Hatumchukii ila tunachukia tamaa zake za kufisadi
basi msimtwishe mtu mwingine habari zake, hangaikeni nae nje ya mgongo wa mtu mwingine. kwani huyo makamba ambaye ni 'mwizi na fisadi wa jk' hakuwa waziri kwa muda mrefu tu wakati wa utawala wa mnaemuona kama mungu wenu?!! ilikuaje hakuona wizi na ufisadi wake hadi mumwambie sasa hivi akiwa ameshaondoka? punguzeni mambo yenu hayo bhana mnaboa wakati mwingine. mbona mawaziri wa jk walikuwa wengi tu katika utawala wa mwendazake na hamkusema kuwa 'jk huyo anayepanga'?!!!!!!!! mna hila gani na huyu mama kwani?
 
telegram huna busara. Huyo unayamtukana ndiye aliyeleta ushindi CCM. Na ndiyo huyo wewe na genge lako mliahirisha kumuua ili uchaguzi ashinde ili akifa awaachie nchi mtawale kiurahisi. Ila sasa badala ya kuwa wauaji wastaarabu mnajitokeza kumbeza huyo huyo mliyemuua mkidhani mtabaki salama. Hakuna dhambi isiyokuwa na mwisho. Onyo ni kuwa shangilieni mkijua Mungu huyu huyu aliyeruhusu Yesu Kristo
Akateswa na kufa ndiyo huyo huyo alimfufua Yesu na kumfanya amuangamize shetani. Na hata leo Jina la Yesu Kristo linamtesa sana shetani aliyeshangilia kifo cha Yesu akidhani kifo chake kilikuwa mwisho. Shetani muda wake ulikuwa ni siku ya kwanza na ya pili na ya tatu ilikuwa ushindi kwa Yesu Kristo alipoyashinda Mauti.

Kiama chenu chaja!
Unapata wapi nguvu ya kumtetea shetani wewe.
 
Ndi
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.

Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu yuleyule kwenda kwenye bodi nyeti ya Tanesco.

Naomba kujua kwanini hatuna utaratibu wa kuweka vigezo kupata watu kwenye taasisi nyeti na maeneo nyeti?

Kwamba wakati wa awamu ya Tano alionewa na kudhalilishwa bila hatia au imekaaje?
Ndio akili zenu CCM mkiambiwa tunahitaji Katiba mpya mnashupaza shingo!
Hayo no matokeo ya kumpa mtu mmoja Nguvu na Mamlaka!
 
Naona mnyukano TANESCO analogy vs TANESCO digital umepamba moto; nyuzi kila kona Makamba kaja kuwashika watu wa kitu kidogo ndo walete nguzo dadek.
 
Mleta uzi unatakiwa uelewe kuwa CCM ni kama wanawake hawaelewakagi hao. Wanajuana wenyewe jinsi akili zao zinavyowatuma kufanya mambo yao. Na kibaya zaidi Mungu aliwanyima aibu.
 
Back
Top Bottom