Tunakumbushana tu

Mm naamini wakati wa matan ndo mtu anapitishia ukwel ndan yake .kumbuka utani n maneno ya mizaha ila yenye ukwel ndani yake......kuwa makin na matani ya watu wako wa karbu....huo ndo ukwel..🀨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…