Picha?Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏
Mimi nataka thread ya 'kitu kimepinda kama ndizii bukoba'Usisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.
Tusio na maneno makali .. wakati wote inakuwaje 😊😊😊 tukiwa tumelewa hatuna neno tukiwa hatujalewa hatuna neno.. tukinyimwa uchi hatuna neno.. tupo kama mazezeta hiviUsisahau maneno makali aliyokutamkia mtu akiwa na hasira kumbuka yana ukweli ndani yake....haijalishi ataomba msamaha au hatoomba msamaha wewe kuwa makini nae......mtu mwenye hasira anaporopoka ni sawa na mlevi wanajua wanachokitamka.
NB:Tumkumbuke Muumba wetu siku za ujana wetu.Madereva gari za New force kuweni makini barabarani bado tunataka kuishi.🙏🙏🙏
Yaani nishazoea kudai picha😂Picha ipi tena😳
Hujambo?Yaani nishazoea kudai picha😂
Mzima lakini dearYeah,hamna kupoa🤒