D
Napenda majirani zanguUtajipendaje mwenyewe kama jirani yako haunipendi?
Napenda majirani zanguUtajipendaje mwenyewe kama jirani yako haunipendi?
Ahsante dear
Ahsante dear
Yes wamefanyia kaziUsjali my dear naona wameshaifanyia kazi mwaya.
Umeongea vizuri sanaAsante kwa kuwakumbusha hao wanawake wasojitambua.
Nawajue kua ,, kutoa miili yao kamwe haiwezi kua rehani ya mtu kukupenda kwa dhati .
Mwanamke kikubwa niajue maana yaahusiano na avae viatu vyawenzake pale atakapokua mwongo. Mzushi. Tapeli. Mwingi wahahabari. Msaliti n.k n.k , ukishapima ukajua kua yanaumiza ,sasa nayeye anapaswa kujiuliza ,kama niyeye kafanyiwa hayo atajisikiaje ?? .
Shida moja,ilopo ni watu wengi sasa ni mapretender balaa. Anavyoongea unaweza hisi ni anaongea kwa ukweli wamoyon, kumbe sasa ??? .
Nawakumbuke kua, Sex sio suala pekee namuhim ktk mahusiano, mimi binafsi nataka sana HESHIMA.
NawasubiriWanakuja
Nikweli kabisa ndio maana tukaamuliwa kuwapenda majiran zetu kama tunavyojipenda wenyewe...je mimi naweza kufanya jambo lakuniumiza ??? Bila shaka hapana.Umeongea vizuri sana
Hakuna jambo jema katika mahusiano kama KUHESHIMIANA...tenda utendewe
Hahahaha...nimevutiwa na haya ya mwishoNikweli kabisa ndio maana tukaamuliwa kuwapenda majiran zetu kama tunavyojipenda wenyewe...je mimi naweza kufanya jambo lakuniumiza ??? Bila shaka hapana.
Ukinipenda mara moja, nakupenda mara mbili
Hahaha ndio ivo ,unajua nn , abebae jukumu la kuyafanya mashavu yako yakimbiane kwa kucheka, basi naww wajibika ktk moyo wakeHahahaha...nimevutiwa na haya ya mwisho
Hahahaha Vlad chizi kabisa wewe..Hahaha ndio ivo ,unajua nn , abebae jukumu la kuyafanya mashavu yako yakimbiane kwa kucheka, basi naww wajibika ktk moyo wake