Kumbe Unapendaga nyama ya ulimi,niliwahi kula hii kitu nikidhani ni nyama ya ulimi kumbe konokono ila ni tamu lakni siwezi rudia tena
Napenda kwa kuila tu. Hivi ina matumizi mengine ? nifundishe nikaanzishe muda huu.[emoji12] [emoji12]Kumbe Unapendaga nyama ya ulimi,
Kwa kuila tu au na matumizi mengine?
[emoji102] [emoji15] utaharisha mpaka maji uite aaaaji
Kama? [emoji15] [emoji102] [emoji12] [emoji14] [emoji39] [emoji85] [emoji87] [emoji14]