Nasikitika kumkosa yule mdogo wako...
Ha ha ha mimi nimezoea kuwinda nikiwindwa nakimbia...!Bado unamuota? Kuna m-switii anataka mwenye kibamia ungechangamkia fursa (if you qualify).
Hehehe happy eid
Duuu watu MNA roho ngumu sanaLa msingi usipoteze fikra nyingi kwa wanawake,kwanza wao hawatupendi ila sisi tu hua hatujui,la muhimu penda na jali wanao tu,kuna mtu aliwahi andika humu nanukuu DO NOT LOVE WOMAN LOVE ONLY YOUR PRODUCT
King'asti mswiti mwenyewe ndio huyu?tatizo ni uvumilivu, wanawake kwa wanaume. kizazi hiki kimekosa uvumilivu kabisa. pili hatuna hofu ya Mungu, watu wanaigiza kuwa wanahofu ya Mungu ili hawana, na ndio maana siku izi hutashangaa anayejiita mpendwa nae anachepuka, au mchungaji ana kesi ya ubakaji.
Mapenzi ya siku hizi yapo ki digitali mno, heshima ya ndoa imepungua. Baadhi ya wanandoa hawana kbs hofu ya Mungu. Ukishaingia kwenye ndoa unatakiwa uwe unamshilikisha sn Mungu itasaidia.Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika na nyingine migogoro haiishi, lakini siku tunapata muda wa kuwachunguza wenzi wetu kabla ya kuoana, je, tunakosea wapi, mbona zamani watu walioana hata hawajuani lakini ndoa zilidumu. Siku mtu anakaa uchumba miaka 5 lakini wakishaoana ndoa inavunjika tatizo ni nini?
Chukua funzo hapaSiku hizi ndoa nyingi zinavunjika na nyingine migogoro haiishi, lakini siku tunapata muda wa kuwachunguza wenzi wetu kabla ya kuoana, je, tunakosea wapi, mbona zamani watu walioana hata hawajuani lakini ndoa zilidumu. Siku mtu anakaa uchumba miaka 5 lakini wakishaoana ndoa inavunjika tatizo ni nini?