Tunakomoana kuhusu ndoa


Umenipa moyo sana NDUGU.
 
Mkuu hizo gharama mi ndo zilinishinda..Nikaamua tu kuforce fumanizi..Nikapigishwa ndoa ya mkeka pale zen mambo yakaishia hapo..

Hadi leo nipo na wife maisha yanasonga

Fumanizi zingine waambulia kichapo Na mke hupati,
NDO nachokihofia mkuu.
 

HAPO NDO tupeane mbinu mkuu.
 
"kuku mmoja na njiwa watatu" Hahaha dah! I want that substance you're on, man.
 
Mkuu hizo gharama mi ndo zilinishinda..Nikaamua tu kuforce fumanizi..Nikapigishwa ndoa ya mkeka pale zen mambo yakaishia hapo..

Hadi leo nipo na wife maisha yanasonga

Kheeeee shigongo jr Nimekushindwa hahahha
 
Achana nae, zunguka upate watakaotaka hao njiwa wako.
 

Tunajuana kama miezi miwili TU, ila tumeona NI VEMA kufuata taratibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…