KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya kimbali lakini wanaoadhimisha ni Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi hakuna muhutu wala mtwah!Jamii nyingine haiwezi kufika pale kwakuwa kinachohubirwa ni chuki dhidi ya Jamii ya Hutu,Twah hivyo katika maadhimisho hayo si rahisi wakufika hapo kwani wanaonekana wao ndiyo waliua watutsi!Hata documentary zote ni za chuki Hata Rais Kagame alikuwa akitangaza kwa hasira sana. Hata ukiona rai yao ni MAUAJI YA KIMBALI DHIDI YA WATUTSI Sasa naona hawajamaa wanapanda mbegu mbaya kwa Jamii ya Wanyarwanda kwani ipo siku litaripuka.
Turudi nyuma ninani haswa aliendesha mauaji yakimbali baada ya Rais wa Rwanda kutunguliwa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi nyuma ninani haswa aliendesha mauaji yakimbali baada ya Rais wa Rwanda kutunguliwa???
Sent using Jamii Forums mobile app