Tunajimaliza!

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Miongoni mwa vitu ambavyo watanzania tumabaki navyo ni lugha yetu ya kiswahili lkn tunakoelekea tunaiua sisi wenyewe, ebu cheki haya makosa tufanyayo kila kuitwapo leo kwa kuiondoa herufi 'h'.
ili= hili
akuna= hakuna
ujambo= hujambo
ujui= hujui
ali hii= hali hii
ekima= hekima
uenda= huenda
n.k n.k n.k, Tujirekebishe jamani!!!!
 
Ipi sahihi na ipi siyo?
 
miongoni mwa vitu ambavyo watanzania tumabaki navyo ni lugha yetu ya kiswahili lkn tunakoelekea tunaiua sisi wenyewe, ebu cheki haya makosa tufanyayo kila kuitwapo leo kwa kuiondoa herufi 'h'.
ili= hili
akuna= hakuna
ujambo= hujambo
ujui= hujui
ali hii= hali hii
ekima= hekima
uenda= huenda
n.k n.k n.k, tujirekebishe jamani!!!!

yaani pamoja na kukupongeza umenishangaza nawe kurudia kosa lile lie. Hebu angalia na si ebu pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeease
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom