Tunajifunza nini, Wasanii wananguvu kuliko wanasiasa?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Vuguvugu la utafutwaji wa Ben saanane lilikuwa hafifu tena lisilo na msisimko wowote, Cha ajabu ilichukua muda hadi Bosi wake Mwenyekiti wa chama chake kutoa kauli.

Hili la wa sanii linatufundisha nini? Mtu siku moja kelele nchi nzima, wanaonyesha umoja wa hali ya juu juu ya matatizo yanayowasibu. Walionekana wasanii wa aina zote wakitoa machozi na nyuso za huzuni.

Watu wote tunasikitishwa na upotevu wa wananchi wenzetu na serikali tunaiomba iwe mstari wa mbele kuondoa sintofahamu hizi kama sehemu ya majukumu yao kwa wananchi waliowachagua.

Wanasiasa, na sisi wananchi wa kawaida uswahilini tujifunze umoja katika matatizo yetu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom