Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

Hii kali kidogo kumeza

Shida ya vijana wa generation yetu ni kujiona ana haki ya kujua kila kitu na kila maamuzi ambayo serikali inafanya

Hata kama ww ni mzazi uwez kuwambia watoto wako kila unachotaka kufanya kwenye maisha yao

Mambo mengine serikali ikiamua no need kuhoji
 
Jitu kwa kukosa maarifa linamtetea Magufuli, tuonyeshe basi kivipi hakuvunja katiba- hawezi. Eti oooh mzalendo, wapi pameandikwa ukiwa mzalendo ruksa kuvunja katiba
Wewe ndo jitu usiejua Zito na Asaadi walikuwa na ajenda gani kuhusu Magufuli.Zito na Asaadi na mambo yao ya udini ndo yanasumbua.Na kama Zitto na Asaadi walivyowadini walikuwa na ajenda mbaya sana na mpaka leo inaendelea.Hii ajenda inaanzia kwa Asaadi alipokuwa mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma na kuasisi migogoro ya kidini ikiwemo kutaka kujengwa msikiti maeneo ya chuo na Magufuli ndio aliyekuwa rais wa kwanza kupinga taasisi za dini kujiingiza katika maeneo ya taasisi za elimu za serikali badala yake watumie madarasa yaliyopo kufanya ibada then mambo mengine yaendelee.Sasa katika kujibu mapigo Asaadi akatumia cheo Cha CAG kujibu mapigo kwa taarifa za kizushi kwa kumtumia Zito ila JPM akawashtukia mapema akampinga chini Asaadi ndo maana hadi leo Zito bado anaangaika😀😀😀Kama sio udini baada ya hii kesi au akamuunge mkono Mbatia kuendeleza kesi kwanini Ndugai avuliwe usipika bila kufata katiba😂😂😂
 
... Mahakama ya juu ime-rule out kwamba Katiba ya Jamhuri ilivunjwa; wewe unatuletea porojo! Uko smart upstairs kisheria kuliko jopo la majaji watatu wa High Court waliofikia uamuzi huo? Sheria ikipingana na Katiba nini kinatakiwa?
 
... Mahakama ya juu ime-rule out kwamba Katiba ya Jamhuri ilivunjwa; wewe unatuletea porojo! Uko smart upstairs kisheria kuliko jopo la majaji watatu wa High Court waliofikia uamuzi huo? Sheria ikipingana na Katiba nini kinatakiwa?
Do you know what you are arguing for? Sheria iliyopo nchini ilitumika, baadaye mahakama ikasema hiyo sheria ni batili sasa aliyetumia hiyo sheria utamshangaaje? Sheria hiyo hiyo ilitumika several years back, je Magufuli angeweza kuiacha hiyo sheria? For your onformation ni sheria hiyo hiyo ilitumika kuweka vyeo ya Deputy CAG, hao wapo ofisini. Je hivyo vyeo navyo ni batili? Sheria hiyo hiyo ulileta a new approach to public audit including value for money audit. Hayo nayo ni batili kwa vile sheria imetamkwa ni batili? Who is nos not sound uptsairs?
 
Sometimes kiongozi anavunja katiba Kwa Benefits za watu wengi so hakuna shida

Sidhan kama magu alimtoa bila kosa, lazima kulikuwa na makosa

And possibly yangegharimu uongozi wake and sio kila kitu cha kutolea maelezo Kwa wanainchi
Taja kosa lake.
 
Ndugai kalazimishwa kujiuzulu na wote mmeufyata tena
 
La kuvunda halina ubani.

Mbio za sakafuni, huishia ukingoni.

Good riddance Magufuli.
 
Inamaanisha majaji wamekosea kwenye hukumu yao?
 
Mimi naulizia tu kwani hao majaji waliotoa hukumu hii nao wamo kwenye hiyo ajenda ya Zitto na Asad?

Hivi pale UDSM hakuna jengo la msikiti na kanisa yaliyojengwa mule ndani?
 
Hapo mwisho , Profesa Assad hana tamaa
 
Mimi naulizia tu kwani hao majaji waliotoa hukumu hii nao wamo kwenye hiyo ajenda ya Zitto na Asad?

Hivi pale UDSM hakuna jengo la msikiti na kanisa yaliyojengwa mule ndani?

Tafuta nakala ya huku usome yote, Achana na hao wanachukua mstari mmoja Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…