Hakuwahi kusema hatokufa, halafu huwa nauliza kimebadilika nini cha maana toka aondoke au ndio Mzee makamba kuongea kwa dharau?Heri tu kwa wale wenye akili mpaka leo makanisani tunashangilia kuwa tumemkanyaga shetani na watu wanacheza lakini uovu bado upo tu,tarehe 9/12/2022 itakuwa sikukuu ya Uhuru na Jamhuri na husherekewa kila mwaka lakini mkoloni CCM yupo,hata sisi tunashangilia kufa kwa dhalimu Magufuri ingawa kifo kipo palepale,alijiona hawezi kufa amekufa na watu wanafurahia matunda ya uhuru wao yeye analiwa na mchwa na haitatokea tena Tanzania kuweka mtu kama Magufuri kila mtu amejifunza,ccm wenyewe wamejifunza.
Huna hojaWhy usiweke ww ambae unashabikia kitu Kwa kusikia tu
Huna hoja
Unatupotezea muda tu.
Kazi kweli kweli.Hapana CAG ni mmoja tu ambaye ni Prof. Asad kwa mujibu wa katiba.
uteuzi ulio fanywa kwa CAG mwengine bila kuzingatia utaratibu ni "batili tangu alipo teuliwa".
kama mahakama ni dhaifu isinge toa maamuzi kama hayo, nadhani hiyo hukumu ni kielelezo tosha cha uhuru wa mahakama.mihimili ya kutoa haki ni dhaifu. mahakama dhaifu,Bunge dhaifu,serikali dhaifu,wananchi dhaifu.
akuna penye unafuu wa kunusuru taasisi nyingine.
Tatizo ni Katiba imekaa vibaya. Inasema eti CAG afanye kazi hadi kustaafu, kipi cha mno? Hata Katani au Mwalimu au Padri unapoanza kazi ni hadi kustaafu. Hakuna jipya halo. Kisheria hii huitwa truism, it goes without saying. Sheria imesema atateul8wa kwackipindi cha miaka 5 ila anaweza kuongezwa tena miaka 5. Hii ni sheria ya Kihasibu, huwezi kuoditi mahesabu hayo hayo zaidi ya miaka mitatu. Prof Assad ni dhaifu kihasibu, ni bookish knowledge hajawahi kufanya audit, alikuwa ni mwalimu tu.kama mahakama ni dhaifu isinge toa maamuzi kama hayo, nadhani hiyo hukumu ni kielelezo tosha cha uhuru wa mahakama.
serikali ninini? vipi siku ikiamua mambo yenye madhara kwa wananchi je wasihoji? serikali iliyochaguliwa na wapiga kura isihojiwe na wapiga kura? you must think beyondShida ya vijana wa generation yetu ni kujiona ana haki ya kujua kila kitu na kila maamuzi ambayo serikali inafanya
Hata kama ww ni mzazi uwez kuwambia watoto wako kila unachotaka kufanya kwenye maisha yao
Mambo mengine serikali ikiamua no need kuhoji
Ni ujuha kusema Magu anadhalilika.Magufuli tabia zako ulizoishi hapa duniani sasa unazalilika sana kila ulichofanya kibaya kimetinduliwa wakiwemo vibwengo wako mapunda na clock bad.
Kama ulishindwa kumuambia shetani wakati alipokuwa hai then wewe ndio shetani sababu sifa za shetani ni kisasi.Magundu alikuwa ni shetani
serikali ninini? vipi siku ikiamua mambo yenye madhara kwa wananchi je wasihoji? serikali iliyochaguliwa na wapiga kura isihojiwe na wapiga kura? you must think beyond
kwahiyo serikali ni baba? vipi kiongozi wa serikali ya kijiji akitaka kuuza sehemu tunapozikiwa je tusimhoji kwakuwa naye ni serikali au unamanisha nini haswa?Baba yako aliekuzaa na kukulea Tu uwez kumhoji sembuse kiongozi uliemchagua?
kwahiyo serikali ni baba? vipi kiongozi wa serikali ya kijiji akitaka kuuza sehemu tunapozikiwa je tusimhoji kwakuwa naye ni serikali au unamanisha nini haswa?
Kuhoji ni kujenga maridhiano na ushawishi. Taifa lenye watu wasio hoji na kudadisi ni taifa MFU
Unapenda kuwa sehemu ya taifa MFU?
Kwanba mwanafunzi anasoma chuo kikuu akihoji hatima yake ya ajira baada ya kuhitimu ANATUMIA hivyo anyamaze tu kwakuwa serikali isiyokuwa na majibu juu ya ajira kwa watu wake ni baba?
Taifa la hewala baba?
Kama kina mandela wangeamini haya kwakuwa wapo Africa leo makaburu ambao nao ni wafrica mkuu SA ingekuwa wapi?Kaka uko Africa! Hapa sio ulaya au US
Africa mpaka pumzi yako inaamuliwa na viongozi
Sometimes serikali inaumiza watu flan ili watu wengine wapate nafuu
Au inaingia makubaliano flan ambayo yataumiza watu Kwa ajili ya watu wengine
No kuhoji in Africa,
Kama kina mandela wangeamini haya kwakuwa wapo Africa leo makaburu ambao nao ni wafrica mkuu SA ingekuwa wapi?
sijazungumzia maisha popote. najaribu kuelezea umuhimu wa kuhojiUmewahi kufika SA?
Unajua Maisha Yao?
Kuna mtu alikuwa na kisasi kama Magundu?Kama ulishindwa kumuambia shetani wakati alipokuwa hai then wewe ndio shetani sababu sifa za shetani ni kisasi.
Duuh wew jamaa kwahio kichere yule mnae mmudu ndio mnaona raha eeti eeehTatizo ni Katiba imekaa vibaya. Inasema eti CAG afanye kazi hadi kustaafu, kipi cha mno? Hata Katani au Mwalimu au Padri unapoanza kazi ni hadi kustaafu. Hakuna jipya halo. Kisheria hii huitwa truism, it goes without saying. Sheria imesema atateul8wa kwackipindi cha miaka 5 ila anaweza kuongezwa tena miaka 5. Hii ni sheria ya Kihasibu, huwezi kuoditi mahesabu hayo hayo zaidi ya miaka mitatu. Prof Assad ni dhaifu kihasibu, ni bookish knowledge hajawahi kufanya audit, alikuwa ni mwalimu tu.
Ishu siyo Kihere wala kumudu, sissies sheria inasemaje. Inasema ATATEULIWA NA RAIS KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ILA ANAWEZA KUONGEZEWA KIPINDI KINGINE KISICHOZIDI MIAKA MITANP. Alichofanya Magu ndicho sheria inavyosema. Wasaliti wetu wanakimbulua Katiba, inayosema atafanya kazi yake hadi umri wa KUSTAAFU? Mie mbona sioni cha mno? Kila mtu aliyeajirowa serkalini hufanya kazi HADI kustaafu; yaani hivi ndivuo.ilivyo kwa watumishi wote wa umma? Kipi cha ziada? Hamna mkanyiko na sheria inayompa terms mbili, kama umri ukimfika wakati yuko Muhul wa Kwanza, sheria ni nzuri kwakwe kwa vile attendees hadi kumaliza miaka 10 yake ya uteuzi hata kama kafika u.ri wa kustaafu. Wajinga wanaisoma vibaya hii Katiba, akiteuliwa kuwa CAG akiwa na miak 20 ina maana atKuwa CAG kwa miaka 40? Kihasibu hairuhurusiwa kuwa mkaguzi zaidi ya miaka 3 ingawa shareholders wanaweza kwa kupiga kura kukuruhusu uongeze miaka mingine 3 au kupitiliza umri wa kustaafu. Kitu wasichojua wasaliti wetu ni kuwa CAG si Muhimili, ni ajira tu sawa na Karani. Hata Jaji hawezi kufukuzwa kazini, na CAG hivo hivo lakini si muhimili. Tusubiri rufaa ya zittokabwe ana blungutu la petrollars za mabeberu.Duuh wew jamaa kwahio kichere yule mnae mmudu ndio mnaona raha eeti eeeh
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app