Tunajiachia sana kuliko kipato chetu

agala

Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
57
Points
0

agala

Member
Joined Sep 13, 2011
57 0
Kwa nn ?????
lakini tusilaumiane hii tumejengewa na wazazi tangia wadogo kwa mfano: Zamani ulikuwa ukienda shuleni labda unagaiwa shilingi 20/=

yakutumia shule lakini wazazi walio wengi walikuwa hatuambiwi tuweke balance na mashuleni huwezi ukaambiwa na mwalimu jinsi ya kutumia hiyo pesa ndo maana inatu cost kwa sasa tuwe na tabia hiyo wazazi.

rbsharia

Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
41
Points
0

rbsharia

Member
Joined Sep 14, 2011
41 0
ni kweli kaka agala, hata mimi mwenyewe sikuwahi kuambiwa nibakishe pesa ambayo nilikuwa nikipewa kwa ajili ya shule bali kila siku nilikuwa napewa nyingine hadi ikanijenga hata leo nikipata pesa naitumia yote kwa kuamini kuwa kesho nitapata nyingine.
Ni kweli, TUJIFUNZE KUWAELIMISHA WATOTO WETU.

Ngo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Messages
284
Points
0

Ngo

JF-Expert Member
Joined May 25, 2010
284 0
Profee Essoree; Sometimes serikali siyo ya kuilaumu!
Mtazamo wangu:wapo ambao kipato chao ni kidogo lakini wanataka makubwa, jigambeblogs....

Hili ninyi mnasemaje!

Mkuu hilo ni kweli, kila siku tunalalamika vipato vyetu vidogo lakini wengi wetu hatuna descipline kwenye matumizi yetu.Tunapenda sana mambo ya kwenda na wakati bila kuangalia umuhimu wa hizo fashion katika maisha yetu ya kila siku. Tukiona PE kanunua kitu fulani tunataka na sisi tuwe nacho au cha ghari zaidi bila kujuwa kinaathiri vipi budget na saving zetu. Wengine wapo tayari kukopa ili mradi tu wanunue vitu vya mpito na hapo wanaendelea kulalama maisha magumu.

Hatuna huruka ya saving wala Investment. Tunategemea siku tukizipata nyingi ndiyo tusave sijui hizo nyingi zinapatikana lini. Na hata tukizipata cha kwanza ni kutaka kuweka heshima bar au mtaani bila kuangalia kesho/keshokutwa itakuwaje. Kwa mtindo huu tutafikia uzeeni hatuna kitu tunabaki kuangalia watoto wetu watusaidie wakati tungeweza kabisa kuandaa mazingira tungali vijana. Inafikia wakati tunataka serikali itufanyie kila kitu wakati mambo mengine yako ndani ya uwezo wetu kama tungejishughurisha. Kazi kweli

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
604
Points
0

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
604 0
Style yako ya kutangaza blog yako nimeikubali!
Sometimes serikali siyo ya kuilaumu!

Mtazamo wangu:

wapo ambao kipato chao ni kidogo lakini wanataka makubwa, jigambeblogs....

Hili ninyi mnasemaje!

kashwagala

Senior Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
116
Points
0

kashwagala

Senior Member
Joined Mar 10, 2010
116 0
Sometimes serikali siyo ya kuilaumu!
Mtazamo wangu:
wapo ambao kipato chao ni kidogo lakini wanataka makubwa, jigambeblogs....

Hili ninyi mnasemaje!
Ni kweli mkuu haya matumizi yetu kwa kweli ni umiza kichwa sana.

Naendelea kusoma "RICH DAD POOR DAD" by Robert Kiyosaki,naona nimechelewa sana kukisoma hiki kitabu kwani elimu ya namna ya kumanage pesa iliyomo ndani ya kitabu hiki inaelekea kunibadidilisha sana.Ni kweli kama wachangiaji wengine walivyosema na hata Kiyosaki amesisitiza sana kuwa wazazi wetu na mitaala yetu ya shule ndo chanzo cha mismanagement ya hicho kipato tunachopata.

Nimeanza kujifikiria hela ninayoitumia siku za ijumaa,jumamosi na jumapili peke yake pale sebuleni kuzungusha yale mambo yetu na wadau,nimeamua nibadilike sana ndo ndoto zangu zitatimia.Wazo la kuchukua mkopo na kununua gari ya kuenda na kurudi kibaruani kwa kweli nimelifuta kwa sasa,kimsingi naendelea kujipanga katika mambo yangu mengi tu.

Forum statistics

Threads 1,391,120
Members 528,369
Posts 34,074,112
Top