Tunaitoaje CCM madarakani?

Ccm sio chama cha siasa ni chama dola kukitoa inabidi wazee wa mabaka mabaka waunge mkono chama mbadala chadema
 
Tupiganie kupata tume huru ya uchaguzi hakika ataondoka tu
 
tunahitaji kupeana elimu ya kuzijua haki zetu!

tume huru ya uchaguzi hawawez kutupatia ccm hata iweje ni mpaka pale tutakapoidai kwa nguvu! nguvu sio za maneno bali vitendo . hiyo inaenda sambamba na katiba mpya na bora haiji hivi hivi
 
Kuanza kutafuta chama kingine ili lissu agombee itatuchukua miaka mingine hamsini kushika nchi. Uenyekiti sio issue kwenye siasa, issue nani anasimama kama mgombea uraisi, jibu lissu kwa ticket ya chadema.Zitto ni Mzuri pia sikatai ila kuimarisha ACT it will take us Muda mrefu sana,.Tunahitaji shortcut na ni CHADEMA.
 
Tumbafu, umeshindwa kumtoa awilo ufipa kawa mwenyekiti wa maisha, uje uitoe ccm? Nyanoko!
 
Wananchi tutumie nguvu tuliyonayo kikatiba,wakituibia 2020 ni maandamano nchi nzima kutaka utawala wa CCM utoke madarakani.Hii pekee ndiyo inayofanya kazi ingawa kunachangamoto ya kubadili mindset za watu waelewe hili linahitajika.
Alternative nyingine ni jeshi.Lakini kwa mwendo wa V.Mabeyo hatuwezi kutoboa,he is too much inclined to the government.
 
okay, kwa hio sasa tufanyeje?
 
Kujadili kuitoa Ccm Mamlakani ni sawa na kuchezea Amani kwenye Tundu la choo
Wewe akili zako hazikutoshi, tuanongelea kuitoa ccm, madarakani wewe unasema ni sawa ma kuchezea amani ndani ya shimo la choo, nini maana yake?
 
Hii ishu uliyoileta ni very sensitive. Na hapa mimi sioni kama ni mahali salama sana.
Lakini hata mimi nafikilia jinsi gani ya kuitoa CCM madarakani kwa njia nyepesi sana. Hill ndio la kuzungumzia, sasa wapi na mahali gani ndio hatujui.
Lakini akitokea tycoon mwenye hela zake akaamua kuingineer hili suala ni jepesi sana nakuambia.
 
Lengo liwe kuwa na upinzani imara.Kutoka kwa CCM iwe ni matokeo ya ziada.Lengo kuu ni kuwa na chachu ya maendeleo ambayo italetwa na upinzani imara.
 
Kule Tripoli Libya wakati wa Ghadafi walikuwa wakiambiwa issue za amani walikuwa wana kejeli kama wewe sasa hivi Shughuli wanaipata
Hakuna kitu kama hicho, Libya Ghadafi ndio hakuandaa mazingira mazuri ya watu wake. Unajua ukisha jiona Mungu mtu lazima mambo yatakuhalibikia tu.
 
Tatizo hakuna Chama Mbadala!! Sasa niambie tuiondoe CCM tuweke chama gani? Chadema??!! Kama ruzuku tu imewaishinda sembuse nchi!! Si watakopeshana raslimari zetu zote!!?? Halafu nani anaweza kutuongoza huko kwenye chama mmbadala? Mbowe, Lema, Msigwa? Hatufanyi majaribio. Tusubiri kikipatikana chama mmbadala na ninafikiri kitatoka ndani ya CCM na sivinginevyo!
 
Kule Tripoli Libya wakati wa Ghadafi walikuwa wakiambiwa issue za amani walikuwa wana kejeli kama wewe sasa hivi Shughuli wanaipata

Msipende sana kutisha watu na Libya,Libya ni Libya na Tz is Tz.Mbona KANU ilikufa na Kenya still ipo
 

Yeyeto tu hata mgombea binafsi. Mbona wapo wengi tu wanaweza tuongoza
 
Kujadili kuitoa Ccm Mamlakani ni sawa na kuchezea Amani kwenye Tundu la choo
SI ndio maama Nigeria 5 Serengeti 4
Uganda 3 Serengeti 0
Angola 4 Serengeti 2
Jumla 12 6
Kwa hesabu hizi cjui
 

Mkuu ccm ikiwa madarakani watu wataigiza wanaipenda, kama ilivyokuwa Mugabe huko Zimbabwe, alipokuwa madarakani kulikuwa na watu wanamshabikia vibaya sana, ilipofika siku ya yeye kutolewa madarakani washabiki wake wakapotea ghafla.
 
Akili mgando bado ni tatizo,bado hatujui kwamba sisi wanainchi ndio tunawajibu wakuwaambia watawala nini tunataka. Frikra za kwamba watawala ndio wanatuamulia kila kitu ndio mana tunaona haya tunayoyaona.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…