wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,329
CCM HAINA SHIDA ! TATIZO NI ANAYEKALIA OFISI!Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Jitokeze hadharani sasa uwatetee wananchi tukuunge mkono
Bora itoke mengine watu watayajua mbeleni hata wakinjinjana bora kuliko ccmHuko kote ulipotaja kuna nini wamekipata baada ya hayo Mapinduzi?
Libya wanachinjana kama Mbuzi Kule Vingunguti
Kule Egypt Al Sisi anapeleka mswaada Bungeni atawale Mpaka 2030 n.k
Infantry!Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
CCM ndio chama cha Amani?
Kama kingekuwa chama cha amani kwanini uwa kinatumia police kila chaguzi toka mwaka 1995....
Nambie lini ccm kiliwai shinda Zanzibar toka mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa?....
CCM itaondoka tu na itaondoka kwa mkono wa chuma muda 2 ndio haujafika......
Ujinga! Kwa hiyo bila CCM hakuna amani Tanzania? Na kwako tafsiri ya amani ni ipi?Amani italindwa kwa gharama zote
Kama umeichoka sogea Burundi au Congo
Tanzania kipaumbele cha kwanza ni amani
Sio lazima kila mtu ajue wewe ni mjinga kiasi gani.Kule Tripoli Libya wakati wa Ghadafi walikuwa wakiambiwa issue za amani walikuwa wana kejeli kama wewe sasa hivi Shughuli wanaipata
Mbowe 2020 ataharibu zaidi kuliko alivyoharibu 2015 atatoa maamuzi ya kubadili gia baharini na Chombo kitazama kabisa.Mkuu kuanza kuhangaika kumtoa mbowe sasa hivi ni kuwapa points tu CCM, cha muhimu nani tumpe kura zetu 2020 Lissu, Zitto?
Umeongea vitu vya hovyo pu....vu kabisa ma..t. .ko yakoMbowe 2020 ataharibu zaidi kuliko alivyoharibu 2015 atatoa maamuzi ya kubadili gia baharini na Chombo kitazama kabisa.
Mana kilibadili gia angani kikaangukia Baharini , bado kinatapatapa baharini.
Akiendelea 2020 atabadili gia baharini na kuzamisha kabisa Chadema.
Hakuna Mtu mwenye akili Timamu atakayepigania kura za Chadema kwa ajili ya Fisadi.
Bora Twende na ACT Chadema ikae makumbusho na Mbowe.
Hata Jimboni kwake na kanda ya Kaskazini imelemaa kabisa kwa sababu ya Ulemavu na udhaifu wa Mbowe kisiasa.
Zile amamsha amsha za Dr. Slaa ziko wapi!
Mbowe hajiulizi tu kuwa ni kwa nini watu wanataka urais na Chama apewe Lisu aliyeko Hospitalni wakati yeye yupo na ni Mzima was afya. Watu wanatamani Mgonjwa aje hata kesho apewe Chama na Nchi.
Tafsiri yake watu kama taifa sio Chadema pekee wamemchoka sana Mbowe.
Kuna siku Mbowe aliteleza akataja neno demokrasia kwenye Tamko la vyama juu ya kesi waliyofungua ya kupinga sheria ya Msajili.
Alibabaika sana namna ya kulikwepa hilo neno Demokrasia.
Tafuta Clip yake umfuatilie. Usione kuwa tunampinga na hata kumchukia sana Mbowe sio kwa sababu ya Uenyekiti tu Bali kwa dhamira yake Mbaya iliyopo moyoni Mwake.
Huwezi kujenga Chama kwa misingi ya uongo,udikteta,ukabila,udini,vitisho, hasira, hujuma kwa vyama vingine tena vichanga kabisa halafu ukategemea kuwa watakuunga mkono.
Demokrasia ikishamiri ndani ya Chadema hakika na kuambia hata CCM itapukutika, na vyama vingine vitaona mahali pa kukimbilia.
Hivi Zito yupi atakayeiunga mkono Chadema chini ya Mbowe aliyetengeneza kila aina ya hila ili afukuzwe bila huruma ndani ya Chama alichokipigania kwa UDI na uvumba akijua iko Siku atakipeleka mbele zaidi.
Nakumbuka Kwenye kampeni za uchaguzi kule Tabora Zito alivyokua anawanyima usingizi CCM kwa nyomi ya vijana huku akichoma T-shirt za CCM.
Zito ana Nyota ya kung' aa sana kuliko Mbowe anayefuga midevu ya bangi mm... e z.ke.
Mbowe haaminiki kama alimsababishia Mtatiro kukosa Ubunge na wakalikosa wote hakika 2020 kila Chama kitakua na mgombea wake sio kuungana na kuiachia Chadema na Chadema Chini ya Mbowe hata kubali kuwaachia wengini mana wote ni wachanga.
Lisu asikubali kupoteza Muda wake kugombea Urais Chini ya Mwenyekiti Mbowe kwa kuwa atapoteza Ubunge wake huku Mwenzake akipiga hela kutokana na Uenyekiti wa Chama na Ubunge na Msemaji wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Mbowe aache utapeli tujenge nchi kwa kujenga imani ya Chama kwa wapiga kura.
Mbowe akae pembeni aone Chama kikijengwa na wenye nia njema.
Tajiri kamwe hajawahi kuwapigania Maskini. Ukiona hivyo ujue kuna Faida ameiona.
Nchi hii ni Lazima vyama hivi viongozwe na watu waliotoka from ziro to hiro kama Magufuli, Zito, Lisu,Mnyika ,Juma Mwalim, n.k. Lakini sio kuongozwa na mzaliwa wa masaki asiyejua shida za watanzania zaidi ya kuwaza ufahari na Kuponda Ruzuku na wanawake.
Bora CCM iendelee miaka 1000 kuliko Chadema Chini ya Mbowe tutajuta sana mana nchi itaendeshwa anavyotaka yeye bila hofu yoyote na mauaji yatakua makubwa sana kwa wale asiowapenda. Mbowe Ni mtu hatari kwa usalama wa wanyonge kuliko kitu chochote unachokijua duniani.
Hebu acha mawazo ya kijinga hiviMimi nashauri tuachane na kupiga kura kabisa kwa sababu kura zetu hazina thamani hata mukiandisha wa Milioni 20 na wakapiga kura watu 1000 na ccm wakapewa 600 kati ya hizo 1000 wataambiwa wwshinda kwa 60%.
Hebu Kumbukeni 2015 walisajiliwa wapiga kura karibu milioni 20.Waliopiga kura ni milioni 12 ,na Magu kashinda kwa kura milioni 8 hivi hii ni haki gani mil 12 wamekukataa na mil.8 tuu ndo wamekukubali hamuoni kuwa haya wengi haizingatiwi? .Sasa mimi naona mfano 2020 wasajili milioni 10 mpaka 12 kisha wapige kura Millioni 4_5 tuu. 2025 wasajili mil.2 na wapige kura laki 5_8 .Tuende mwendo huu mpaka wabakie wapiga kura ni jamaa wa wagombea tuu.YAANI TUFANYE UCHAGUZI USIWE KITU CHA MAANA KABISA ,IWE NI MGOMO BARIDI.WATAELEWA LUGHA HII KAMA ALIVYOELEWA NYERERE. YEYE UCHAGUZI WAKE WA NDIO NA HAPANA WA MWISHO 1980 NADHANI ALIPATA KURA LAKI NNE AU TANO.HAPO ALISHAKOSWAKOSWA KUPINDULIWA MARA 4 ,ALIACHIA NGAZI NA KUNGATUKA.
ila tukubali kuvumilia.na.tusikubali.ushawishi wa chama chochote kile kwani uhalisia ccm hawatokipachama.chochote kutawla.SASA SISI TUNAFANYWA MABOYA TUU.BORA TUSUSE.
Pumba!Mbowe 2020 ataharibu zaidi kuliko alivyoharibu 2015 atatoa maamuzi ya kubadili gia baharini na Chombo kitazama kabisa.
Mana kilibadili gia angani kikaangukia Baharini , bado kinatapatapa baharini.
Akiendelea 2020 atabadili gia baharini na kuzamisha kabisa Chadema.
Hakuna Mtu mwenye akili Timamu atakayepigania kura za Chadema kwa ajili ya Fisadi.
Bora Twende na ACT Chadema ikae makumbusho na Mbowe.
Hata Jimboni kwake na kanda ya Kaskazini imelemaa kabisa kwa sababu ya Ulemavu na udhaifu wa Mbowe kisiasa.
Zile amamsha amsha za Dr. Slaa ziko wapi!
Mbowe hajiulizi tu kuwa ni kwa nini watu wanataka urais na Chama apewe Lisu aliyeko Hospitalni wakati yeye yupo na ni Mzima was afya. Watu wanatamani Mgonjwa aje hata kesho apewe Chama na Nchi.
Tafsiri yake watu kama taifa sio Chadema pekee wamemchoka sana Mbowe.
Kuna siku Mbowe aliteleza akataja neno demokrasia kwenye Tamko la vyama juu ya kesi waliyofungua ya kupinga sheria ya Msajili.
Alibabaika sana namna ya kulikwepa hilo neno Demokrasia.
Tafuta Clip yake umfuatilie. Usione kuwa tunampinga na hata kumchukia sana Mbowe sio kwa sababu ya Uenyekiti tu Bali kwa dhamira yake Mbaya iliyopo moyoni Mwake.
Huwezi kujenga Chama kwa misingi ya uongo,udikteta,ukabila,udini,vitisho, hasira, hujuma kwa vyama vingine tena vichanga kabisa halafu ukategemea kuwa watakuunga mkono.
Demokrasia ikishamiri ndani ya Chadema hakika na kuambia hata CCM itapukutika, na vyama vingine vitaona mahali pa kukimbilia.
Hivi Zito yupi atakayeiunga mkono Chadema chini ya Mbowe aliyetengeneza kila aina ya hila ili afukuzwe bila huruma ndani ya Chama alichokipigania kwa UDI na uvumba akijua iko Siku atakipeleka mbele zaidi.
Nakumbuka Kwenye kampeni za uchaguzi kule Tabora Zito alivyokua anawanyima usingizi CCM kwa nyomi ya vijana huku akichoma T-shirt za CCM.
Zito ana Nyota ya kung' aa sana kuliko Mbowe anayefuga midevu ya bangi mm... e z.ke.
Mbowe haaminiki kama alimsababishia Mtatiro kukosa Ubunge na wakalikosa wote hakika 2020 kila Chama kitakua na mgombea wake sio kuungana na kuiachia Chadema na Chadema Chini ya Mbowe hata kubali kuwaachia wengini mana wote ni wachanga.
Lisu asikubali kupoteza Muda wake kugombea Urais Chini ya Mwenyekiti Mbowe kwa kuwa atapoteza Ubunge wake huku Mwenzake akipiga hela kutokana na Uenyekiti wa Chama na Ubunge na Msemaji wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Mbowe aache utapeli tujenge nchi kwa kujenga imani ya Chama kwa wapiga kura.
Mbowe akae pembeni aone Chama kikijengwa na wenye nia njema.
Tajiri kamwe hajawahi kuwapigania Maskini. Ukiona hivyo ujue kuna Faida ameiona.
Nchi hii ni Lazima vyama hivi viongozwe na watu waliotoka from ziro to hiro kama Magufuli, Zito, Lisu,Mnyika ,Juma Mwalim, n.k. Lakini sio kuongozwa na mzaliwa wa masaki asiyejua shida za watanzania zaidi ya kuwaza ufahari na Kuponda Ruzuku na wanawake.
Bora CCM iendelee miaka 1000 kuliko Chadema Chini ya Mbowe tutajuta sana mana nchi itaendeshwa anavyotaka yeye bila hofu yoyote na mauaji yatakua makubwa sana kwa wale asiowapenda. Mbowe Ni mtu hatari kwa usalama wa wanyonge kuliko kitu chochote unachokijua duniani.
Bila kutumia nguvu hiki kikundi Cha mafisadi wachache kitaendelea kukaa madarakani na kuendelea kuamua hatima ya nchi yetu na watoto wetu.Mtu asinishawishi nikapige kura 2020 ila anishawishi tukaiondoe xWadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Tatizo la viobgozi wa upinzani Tanzania ni waoga sana wanaogopa kujitoa muhanga mpaka wajitoe muhanga ndio watapata sapoti ya wananchi .The right is not given i n a silver plate .So far hakuna kiongozi wa upinzani anayeonesha dalili ya kutumia njia hizo tunasubiri kupiga kura tutumbukie tena kwenye bwawa kama kawaida.
Ingekua ni watu walewale kama mbowe alivyokamata chadema ningekuelewa. Ila ccm ni ile ile ila watu tofauti. Watu hawataki chama kingine wanachotaka ni utulivu na maendeleo. Kama unataka chama tofauti tz hakuna hamia kenya.Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Amani ya Tanzania/ Tanganyika ilikuwepo kabla ya TANU na CCM,mkuu watu siku hizi tumesoma hata Kama tumepewa elimu mbovu ambayo haitusaidii zaidi ya kusubiri kuajiriwa but angala tunaelewa.ujinga huu rudisha Lumumba hii ni Karne ya 21 kaka hautafanya kaziKujadili kuitoa Ccm Mamlakani ni sawa na kuchezea Amani kwenye Tundu la choo
Kuifananisha Amerika na Tanzania kwa hatua nchi hizi mbili zilizopitia ni Makosa makubwa sana.Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
copy your massage,i hope is very clear,Kujadili kuitoa Ccm Mamlakani ni sawa na kuchezea Amani kwenye Tundu la choo