Tunaitoaje CCM madarakani?

Tunaitoaje CCM madarakani?

Kuna sababu nyingi ambazo zinakifanya CCM iendelee kutawala hata miaka 40 ijayo. Nazo ni kama ifuatavyo.
1. Uoga wa watz. Yaan hawajazoea mambo ya vita na mshike mshike. Tofauti na nchi zingn kam za kiarabu
2. Ubinafsi na njaa. Kila mmoja anajijali na hutamani apate peke yake. Akishapata husahau wengne. Ndo maana utawaona watu kama Kitila Mkumbo, polepole, Mwita, etc
3. Ujinga na umaskini. Hivi vyote vinarandana. Mtu mjinga mara nyingi niaskini. Hatambui haki zake, na mustakabali mzima wa maisha yake. Na hajui chanzo cha matatizo yake. Akiambiwa kua tz bila ccm itakua na vita huamini hivo. Na umaskin hupelekea watu kujipendekeza na kua wasaliti.
4. Unafiki na kujipendekeza. Hii ndo kansa inayotutafuna. Apataye cheo husahau. Na hata wananchi waitwao wanyonge wanaonyesha unafiki wa wazi kwa kuimba ngojera za kusifu nana pia wakiwa ni watu wa kujikomba kwa wakubwa angalau aweze kupata mli na cheo.
5. Matabaka, utengano na udini. Hivi vinashbiana kwa ukaribu. Ukiskia huyu alieko madarakani kama ni dini flan basi atapigiwa makofi wakijinadi kua na sisi tumepata raisi. Huwez pata suppprt na kam ni kura atapta.
6. Ukabila na ukanda. Hii inaelekeana na no 5 ingawa utofauti wake ni pale unaposkia huyu katokea kanda flani na ni kabila flan. So utakuta anapifiwa kura na watu wengi wa kabila lake, regardless yy ni chama chake.
7. Upinzani dhaifu wenye unafiki ndan ake. Juzi CHADEMA wakaitiaha press kwenda kujitetea sakata la gari la CAG badili ya kujadili ubadhilifu uliobainishwa na CAG. Mtazame aliekua mgombea wa ACT 2015 alivokubali matokeo haraka ili apate cheo.

Mambo ni meng mda ni mchache

Hivyo vitu hapo juu vitayafanya madiliko ya kweli yachelewe kwa miongo kadhaa mbele mpaka pale kila mmoja atachoka na kunena kwa lugha moja, na hata pale ambapo mawe nayo yatachoka na kujiunga kwenye unenaji. Hapo mbuyu utaangushwa. Ila sio leo.
Heshima kwako!!
Ukombozi hakika unakaribia.

Uliyoyasema ndiyo hasa yanayofanyika nimekua nikijiuliza sana hivi haya watu wanayajua?.
Nimeona sasa watu wameanza kujua ukweli.

Hapo kwenye udini na Ukabila hua ni Janga kubwa sana.

Zito alifukuzwa Chadema kwa sababu ya udini na ukabila Lowasa alipigwa vita kwa sababu ya udini na ukabila.
Lipumba alipingwa kwa sababu ya udini.
Yani Tanzania hatuchagui au kuandaa kwa Sera hasa ndani ya Vyama?

Lakini pia tujiulize tunaitoa CCM na kuweka Chama kipi?
Mana vyote vinaongozwa kidikteta kuliko hata CCM.
Huwezi kuitoa CCM yenye pesa zote za Hazina na dola yote na nafasi zote za kugawa vyeo vyenye maslahi makubwa wakati huo huo tumeshindwa kumtoa kwenye uenyekiti mtu mmoja aliyefeli na kupata sifuri darasa la kumi na NNE anayeitwa Mbowe.

Tungewabadili kwanza Watu kama akina Mbowe kidemokrasia ndipo ingetokea nji sahihi ya kumpata Nabii wa kutuvusha.
Bado tunang'ang'ania kupanda kwa kutumia ngazi fupi isiyofika kwenye tawi la mti wa matunda.
Dawa ni kubadili ngazi na kuweka ngazi nyingine ndefu zaidi.

Bila Demokrasia ndani ya vyama hatutaweza kamwe kufikia Demokrasia ya kweli.
Ndio maana namchukia sana Mbowe mana amejenga mazingira Yale Yale ya CCM ndani ya Chadema na upinzani.

Kwa Sasa Juma Mwalimu anafaa kabisa kukabidhiwa Chama lakini ukabila utamnyima ,Heche anafaa sana lakini ukabila bado upo Chadema ya Mbowe.

Kuna ugumu gani kwa chadema kuweka katiba inayomshughulikia Mwenyekiti yeyote atakayechukua nafasi ya Mbowe kama ataonekana kupwaya?

Woga wa kumtoa Mbowe ndio uliojijenga kwa wananchi na kushinda kuitoa CCM.Wanaogopa vyama vingine.

Ukiangalia kwenye udini lazima ujiulize ,Je,Waislam waliokua wanaisema sana serikali ya CCM kuwa imejaa uonevu na inawaonea Waislam na kutowasikiliza malalamiko yao leo wako wapi?
Au wanasubiri ninic?
Kwa nini wasiendelee na harakati zao kama zilikua na nia njema?
Bila shaka walikua wanatumiwa na watu ndani ya au nje ya CCM ili kutafuta nafasi za kiutawala. Suala halikua ni dini bali madaraka.

Wakati Waislam walipokua wanalalamika Mara kwa Mara Kwa wakristo walisahau kuwa Kuna Tatizo kwenye katiba inayosababisha watu wanalalamika kutokana na watu wote kutegemea kutendewa hisani na Mtu mmoja as if he/ she is a living God anayegawa riziki.

Watu wakafikia mahali wanahesabu idadi ya wateuliwa kwa kuangalia dini badala ya uwezo wa mtu.
Yote hayo ni mifumo mibovu ya Katiba iliyoasisiwa na CCM na kuendelezwa kama Imani.
Kuna madhehebu wanaichukulia CCM kama Chama kilichoanzishwa na manabii na watakatifu toka mbinguni na hakistahili kunyima kura hata kama.
Hawa ni tatizo pia kwenye kuleta mabadiliko na kujenga Taifa la kidemokrasia linaloshindana kwa hoja za kimaendeleo badala ya kutafuta vyeo na maslahi.
 
Ccm ishakufa wamebaki kulindwa na tanpol ambao soon tutawashughulikia tupo tunawaandalia dawa Yao
Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
 
Sidhani kama Mbowe ni tatizo. Mbowe ana nguvu sana ndiyo maana ccm imehangaika naye kwa miaka hii minne bila kuweza kumwangusha pamoja na kumweka ndani. Walianza na dawa za kulevya, kubomoa Bilkanas; kumharibia shamba, kodi kubwa kwenye biashara zake na mwisho kumfunga, juzi juzi wamemnyanganya plot yake kule Hai. Wachaga nao wanakuwa wazembe kama kabila nyingine. Kule Hai madiwani wamehongwa wametimka. Washamba kweli kweli. Je kama angekuwa dhaifu kama unavyotuaminisha angeweza kuwepo leo?
Mimi sina chama ila nina hakika kuwa kama kuna chama kitatoa ccm madarakani ni chadema. Kina vijana wenye akili sana.
Kuna moja jana aliandika kuwa makada wako ccm ila ni wajinga. Nami nakubali. CDM wakazane kuwafanya vijana wao makada! Mbowe ana hekima sana ni kiongozi mzuri na ana uwezo mkubwa. Yule hakusoma shule za kata baba yake alikuwa na uwezo. Walikula mezani wakati sisi tunakula kwenye mkeka. Huwezi kumlinganisha na kiongozi yeyote Tanzania kwa sasa hivi kwa mwenendo wake wa uongozi na staha ya kuongea. CDM pekee chini ya M owe ina uwezo wa kuiondoa CCM ndiyo maana wanataka kuiua, wamewafunga mikono na miguu. Inatakiwa tusio na nyama na wananchi wote tukatae uonevu. Chama chochote kinapojengwa hakiwezi kuwa na mabadiliko ya haraka hataka hata ccm kiliendeshwa na nyerere kwa muda mrefu ndipo ikakomaa. Tusidanganyike. Mwalimu ni mzuri sana lakini hatakuwa na means za kuendesha chama. Kuendesha chama mbadala siyo lelemama. Tusidanganyike!
Ila dawa ni Rasimu ya Warioba na NEC huru tu.
Waliohama kutoka CDM ni wachumia tumbo, ama walioumizwa biashara zao, waliotishwa. Inajulikana hata Sumawe alituambia!
 
Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.

Hizo ni ndoto za Alinacha!!! Yaonekana kijana hujui historia ya nchi yako, CCM ni tangu 1954 na 1961 kilishika hatamu ya uongozi wa nchi. Sasa ukitaka mabadiliko ebu nenda Somalia, Libya, Iraq, Brunei, Saudi Arabia, Russia, Cuba, Venezuela, Honduras ukaone maisha wa raia wao kwa muda mfupi. TANU + Afro-Shiraz Party = CCM!!!! which means 1954 to 1960 years of gathering leadership strength - 6 years, 1961-2019 - 58 years of leadership!therefore 6+58 = 64 years of leadership experience! Kwa hiyo siyo miaka 30 yako! Good Morning Tanzania.
 
Amani italindwa kwa gharama zote
Kama umeichoka sogea Burundi au Congo

Tanzania kipaumbele cha kwanza ni amani

Na amani hiyo inapatikana kwa ccm kuwa madarakani tu tena kwa kuchezea box la kura! Huwezi kuamini sasa hivi njia ya nje ya box la kura tu ndio muarobaini wa huu upuuzi. Haiwezekani tukae tunaona mabox ya kura yanatolewa vituoni kwa uratibu wa jeshi la polisi na kwenda kujazwa kura za ccm kisha tuseme hapo tunalinda amani. Kama hiyo ndio amani mnayohubiri msijali tutaiishi soon.
 
s
Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
sisemi kitu bali siipendi ccm kuanzia jina hadi rangi.
 
kwanza tuondowe woga maana woga ndio adui yetu mkubwa. ccm hakuna anaye wapenda zaidi ya wale wanao linda kazi zao na wale wanao ishi kwa kutegemea huruma za watawala. kuiondoa ccm ni kazi rahisi sana ni kutafuta watu kama laki moja tu ambao wapo tayari kufia nchi wakidai tume huru ya uchaguzi kwa garama yoyote. tume huru ikipatikana haki ccm hata sekunde hawachukuwi.
 
Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Alafu tunamuweka nani? Lazima pia tujadili na upande wa pili pia
 
CCM itaondoka madarakani kwa haya.
1.Majanga makubwa kama vita kuu ya maangamizi makubwa ya watu na mali.
2.Ikiwa Tanzania itageuka koloni la nchi nyingine.
3.Muungano wa kisiasa na kiserikali wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
4.Zanzibar ikijitenga na Tanganyika
5.Katiba mpya ikisimamiwa na Uingereza.
6.Shindikizo kutoka nchi za Magharibi.
 
Kuna sababu nyingi ambazo zinakifanya CCM iendelee kutawala hata miaka 40 ijayo. Nazo ni kama ifuatavyo.
1. Uoga wa watz. Yaan hawajazoea mambo ya vita na mshike mshike. Tofauti na nchi zingn kam za kiarabu
2. Ubinafsi na njaa. Kila mmoja anajijali na hutamani apate peke yake. Akishapata husahau wengne. Ndo maana utawaona watu kama Kitila Mkumbo, polepole, Mwita, etc
3. Ujinga na umaskini. Hivi vyote vinarandana. Mtu mjinga mara nyingi niaskini. Hatambui haki zake, na mustakabali mzima wa maisha yake. Na hajui chanzo cha matatizo yake. Akiambiwa kua tz bila ccm itakua na vita huamini hivo. Na umaskin hupelekea watu kujipendekeza na kua wasaliti.
4. Unafiki na kujipendekeza. Hii ndo kansa inayotutafuna. Apataye cheo husahau. Na hata wananchi waitwao wanyonge wanaonyesha unafiki wa wazi kwa kuimba ngojera za kusifu nana pia wakiwa ni watu wa kujikomba kwa wakubwa angalau aweze kupata mli na cheo.
5. Matabaka, utengano na udini. Hivi vinashbiana kwa ukaribu. Ukiskia huyu alieko madarakani kama ni dini flan basi atapigiwa makofi wakijinadi kua na sisi tumepata raisi. Huwez pata suppprt na kam ni kura atapta.
6. Ukabila na ukanda. Hii inaelekeana na no 5 ingawa utofauti wake ni pale unaposkia huyu katokea kanda flani na ni kabila flan. So utakuta anapifiwa kura na watu wengi wa kabila lake, regardless yy ni chama chake.
7. Upinzani dhaifu wenye unafiki ndan ake. Juzi CHADEMA wakaitiaha press kwenda kujitetea sakata la gari la CAG badili ya kujadili ubadhilifu uliobainishwa na CAG. Mtazame aliekua mgombea wa ACT 2015 alivokubali matokeo haraka ili apate cheo.

Mambo ni meng mda ni mchache

Hivyo vitu hapo juu vitayafanya madiliko ya kweli yachelewe kwa miongo kadhaa mbele mpaka pale kila mmoja atachoka na kunena kwa lugha moja, na hata pale ambapo mawe nayo yatachoka na kujiunga kwenye unenaji. Hapo mbuyu utaangushwa. Ila sio leo.
Kunywa soda mkuu nitakuja kulipa
 
Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Umesema sababu(wizi wa kura na matumizi ya Tume na mamlaka yake) halafu unauliza swali tena?
 
Ili kitawale chama gani sasa,wewe unapatapata hata kamwanga kidogo juu ya chama kizuri cha upinzani hapa nyumbani? Au vitengenezwe vingine fasta? Mana Mimi nikiwazaga tu vyama vya upinzani vilivyo na sarakasi za hatari huwa naishiwa pumzi. Wanasiasa niliopata kuwaamini mwisho Wa siku wakafanya mambo yalonikatisha tamaa sana hasa ninapofikiria kiundani!
 
Mimi viongozi Wa vyama vya upinzani waliopo sasa wote siwaamini,wanatufanya mazuzu tu kwa kutudanganyadanganya
 
Amani italindwa kwa gharama zote
Kama umeichoka sogea Burundi au Congo

Tanzania kipaumbele cha kwanza ni amani
Ni kweli kabisa.

Lakini umeshajiuliza hivi akitokea Mtu mwenye ufuasi na hawa wapo wengi hapa Nchi wakaamua kujitoa ktk vyama waliko ajili unaharaka kwa kupitia issue CAG tuu na utaiona Sudan hiyo hapo mbele.
Kama umenielewa nielewe kama bado sijui kumbuka watu wanachuki Mioyoni mwao na kwenye hili tegemea lolote akitokea mtu kama huyu wale malengo yao ni ya kufuta vyama ndio wamewaletea wapinzani njia mbadala ya kuchukua madaraka.

Hizi sheria kwa mjuzi wa dunia ya leo sio mbadala kwa taifa lililogawanyika Kiitikadi kama chama changu ccm kinaulewa wa hii Dunia ilivyo isingekubali hii sheria ya kuvibana vyama kwani atajitoa Mtu kwenye chama chake na kuja uanarakati na huu uanarakati wake usifananishwe na Bisige wa Uganda kwani kuuzuia ni vigumu tukumbuke mgawanyiko ni mkubwa.
Sisi wanaccm kama miaka mitatu iliyopita tulikuwa tukivaa sare za chama tuseme mpaka japokuwa sasa zomea imebadili nakuoneka ukiwa ndani ya chama changu unaonekana bado au mchumia tumbo kuendana maisha mtaani yalivyomagumu.
Na huu mgawanyiko tusiubeze kwani mfano huo uanarakati akatokea huyo akauanzisha kipindi karibu na uchaguzi sijui nini kitatokea na sasa hivi dunia inaimulika Tanzania kwa macho yote kutokana kauli tata.

Naipe Nchi yangu Tanzania.
Ee Mungu ilinde Nchi yangu.
Amina
 
Si rahisi CCM kutoka madarakani japo ki moyo imeshatoka. Hii inatokana na namna ilivyotumia njia ya kuwabana wapinzani na nature ya Watanzania (waoga). Huku ANC naiona inazidi kutokomea kwa kasi na sababu kuu kule kuachia uhuru wa kidemokrasia. Naiona EFF ikichukua viti vingi uchaguzi unaokuja
 
Wadau kwema?
Hivi wadau sisi kama binadamu wa karne ya 21 tumekubali kabisa CCM watutawale miaka 30+?Ujanja woteee tulio nao tumefeli miaka yote hiii? Kwanza naamini humu JF wapinzani ni wengi kuliko CCM, tunashindwa nini?
OK, kuna jibu moja ambalo liko popular miaka yote eti vijijini watu wengi hawajasoma wanajua bado nyerere anatawala na CCM yake,nakwambia si kweli.Nimezunguka vijiji vingi tena interior haswa wanajua Mbowe ni nani na Magufuli ni nani.
The main problem iko hapa:UCHAGUZI tunaibiwa.Tusipo kuwa makini tutakuwa ruled na CCM for another 30 years!tutakuwa ni watu wa kulalamika kimya kimya miaka yote hiii? Tazama leo tumepigwa nakos za uso huko Arumeru tumetulia tu as if we are in the 20th century. Damn!
Ajitokeze mtu hapa atuambie tunashindaje 2020 maana tunatofautiana kimawazo.Tuchukue hata awamu moja tukifeli basi warudi CCM.Ninachoamini mimi nchi ya kidemokrasia inayotawaliwa kwa miaka zaidi ya 30 na chama kimoja maana yake watu wa nchi hiyo bado ni wafungwa hawajawahi kuwa "nje ya box".
Unafikiri ni kwa nini wananchi wa marekani wanajiamini nchini kwao? Sababu wanajua mtawala atakapoleta ujinga atatoka for sure regardless of his /her political party.
Angalia sisi tulivyo waoga ni kwa sababu hatujawahi kuwajibisha utawala kwa kuweka madarakani chama kingine.Ikitokea hii utaona namna watanzania watakavyo kuwa confident.Tumekata tamaa, tumekata tamaa.Majuzi nilikuwa naongea na group la jamaa zangu fulani wanasema hata ufanyaje sa hv huwezi kubadili siasa ya CCM.
Ikishindikana kwa njia ya kura tunaweza kufanyaje? Wasomi tuambieni.Fikiria chama cha upinzani kimechukua nchi mizizi yote ya CCM toka 1970s hadi leo itakavyo wakost CCM kuing'oa kumsafishia ofisi mpinzani, CCM wakifikiria hilo wanachanganyikiwa ndio maana wanatumia nguvu kubwa.
Hivi sisi tuliopo JF,twitter, Facebook, Instagram, whatsapp etc hatuwezi kuwa chachu kwa wengine?
Ni aibu kwa kweli 30yrs+ bado tuko na chama kimoja?China wanaweza kuwa na justification ingawa ni chama kimoja leo ni second world economy.Tanzania ni economy ya ngapi? Mtu aliyekufa mwaka 80 akifufuka leo anamkuta CCM bado yupo.Tuna tabaka la vijana wengi waliosoma kuliko miaka mingine yote, tunafeli wapi? Tutafute muarobaini. Nipe mawazo yako alafu niambie hapa wewe ni MPINZANI au CCM niweke kura yako.
Tumechoka na CCM.
Njia moja muhim ya kuitoa ccm madarakani ni kwa kukubali kubadilishana rasilimali zetu na madaraka kama wanavyofanya wao ccm kwa wawekezaji ambao wakiwa na uhusiano mzuri na upinzani wanabatizwa jina mabeberu.kumbuka ccm haipo madarakani kwa mbinu na jeuri yake bali ni kwa sababu wazungu wana maslahi mapana sana yaani ccm ni mlinzi wa shamba la mzungu liitwalo tanzania na anachokifanya tundu ndio njia sahihi ya kuitoa ccm madarakani jambo zuri ni kwamba wazungu wakimwamini ccm kwishney amin hilo
 
CCM ndio chama cha Amani?

Kama kingekuwa chama cha amani kwanini uwa kinatumia police kila chaguzi toka mwaka 1995....

Nambie lini ccm kiliwai shinda Zanzibar toka mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa?....

CCM itaondoka tu na itaondoka kwa mkono wa chuma muda 2 ndio haujafika......
Kwahiyo ulitaka polisi waende likizo wakati wa uchaguzi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom