Tunaitaji watu wenye msimamo kama KAKOBE

Asante 3squere kwa thread yako!

Hatuna budi kujifunza kuwapa credit wanaostahili credit, na kuwatia moyo kutoa michango yao kwa jamii. Mchango wa Kakobe, unahitajika sana, katika kuikomboa nchi hii!

Ni ukweli ulio dhahiri, kwamba, bila elimu ya uraia aliyoitoa Kakobe, siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu 2010; CCM walikwisha kumpiga bao Dr wa ukweli, Dr Slaa, kwa sakata lile la "mke wa mtu", walilolishupalia kwenye vyombo vyao vya habari. Elimu ya uraia aliyoitoa Kakobe katika TV, kwa somo, "MKRISTO NA UCHAGUZI MKUU", ndiyo iliyomwokoa Dr Slaa! Somo hilo, lilikuwa kama golikipa aliyepangua penati ya hatari! Tukibisha, itakuwa ni arguing, for the sake of argument!

NYONGEZA

Pia hata somo la' RUSHWA ADUI WA HAKI' ambapo Kakobe alitoa mfano kuwa wao waliopokea rushwa wanafananishwa na Kahaba na kiasi walichopokea cha fedha ndio thamani yao hivyo wamemdharau Mungu. Akawasihi watanzania kutubu na kuonesha kumuheshimu Mungu yule aliyewapa rushwa wasimchague, ndiyo maana CCM walikosa kura hata JK hakushinda, yuko madarakani kwa nguvu ya Jeshi, Kama fisadi SHIMBO, aliyemkingia kifua ambaye naye ametoswa baada ya akaunti yake ya Afrika kusini kukutwa ina fedha takribani bilion 3. Elimu yake ya uaraia Chama cha MAgamba haitausahhau milele

Kakobe Baba Askofu, tunakuomba usituache, tunakuomba mwaka 2015 utupatie tena elimu ya uaria ili tuyaondoe magamba na chama cha magamba
 
Pia hata somo la' RUSHWA ADUI WA HAKI' ambapo Kakobe alitoa mfano kuwa wao waliopokea rushwa wanafananishwa na Kahaba na kiasi walichopokea cha fedha ndio thamani yao hivyo wamemdharau Mungu. Akawasihi watanzania kutubu na kuonesha kumuheshimu Mungu yule aliyewapa rushwa wasimchague, ndiyo maana CCM walikosa kura hata JK hakushinda, yuko madarakani kwa nguvu ya Jeshi, Kama fisadi SHIMBO, aliyemkingia kifua ambaye naye ametoswa baada ya akaunti yake ya Afrika kusini kukutwa ina fedha takribani bilion 3, ambazo ameshindwa kuzitolea maelezo kazipata wapi. Elimu yake ya uraia aliyoitoa Chama cha Magamba haitaisahau milele

Kakobe Baba Askofu, tunakuomba usituache, tunakuomba mwaka 2015 utupatie tena elimu ya uraia ili tuyaondoe magamba na chama cha magamba


Hongera Baba Askofu Kakobe kwa elimu nzuri ya uraia kwani umetuonesha njia
 
Nimesema wahubiri wote, mpaka Pengo na Papa wote kundi moja na Kakobe.

kanisa katoliki hakuna watakatifu, wopte ni waovu ndiyo maana mchakato wa kuwafanya watakatifu unaanza baada ya mtu kufa kitu amabcho ni kinyume na Biblia, Mungu hapokei rushwa wakatoliki sikieni Torati 10.17, Kakobe ni tofauti na Babu wa loliondo na ni tofauti na papa au kardinali wa katoliki.n Bblia inasema watakatifu waliopo duniani ndio walio bora hao ndio ninaopendezwa nao soma zaburi 16;3, mathayo 5.48, 1thesalonike 5.22-24, luka 19.10, mathayo 1.21 ukisoma maandiko haya utajua mnachofanya katoliki hakina toauti na BAbu wa Loliondo lakini kakobe ni mtumishi wa Mungu aliyehai

Mwenye asikio na asikie neno hili ambalo roho mtakatifu anawaambia ufunuo sura 2 na 3

Wengi mnaongea bila kufanya utafiti, mm nimesali katoliki, nimesali kwa mama Rwakatare,Anglikana na sehemu mbambali ikijumuisha kwa Askofu Kakobe hivyo najua mambo mengi, naongea nikiwa najua kile ninachokisema tofauti na ww uliyota ndoto zangu na kuamuka usingizini na kuanza kuropoka

Kila afichaye dhambi zake atahukumiwa bali yy aziungamaye kwa kumaanisha kuziacha ataokoka mithali 28.13

natumaini nimekusaidia
 
kanisa katoliki hakuna watakatifu, wote ni waovu ndiyo maana mchakato wa kuwafanya wawe watakatifu unaanza baada ya mtu kufa kitu ambacho ni kinyume na Biblia, Mungu hapokei rushwa wakatoliki sikieni Torati 10.17, Kakobe ni tofauti na Babu wa loliondo na ni tofauti na papa au kardinali wa katoliki. Biblia inasema watakatifu waliopo duniani ndio walio bora hao ndio anaopendezwa nao soma zaburi 16;3, mathayo 5.48, 1thesalonike 5.22-24, luka 19.10, mathayo 1.21 ukisoma maandiko haya utajua mnachofanya katoliki hakina tofauti na BAbu wa Loliondo lakini kakobe ni mtumishi wa Mungu aliyehai na ndiyo maana anayanena anayotumwa na Mungu na sio vikao vya vatican au ndoto za kishirikina/kishetani za Babu wa Loliondo

Wengi mnaongea bila kufanya utafiti, mm nimesali katoliki, nimesali kwa mama Rwakatare,Anglikana na sehemu mbalimbali ikijumuisha kwa Askofu Kakobe hivyo najua mambo mengi, naongea nikiwa najua kile ninachokisema tofauti na ww uliyoota ndoto zako na kuamuka usingizini na kuanza kuropoka

Kumbuka Kila afichaye dhambi zake atahukumiwa bali yy aziungamaye kwa kumaanisha kuziacha ataokoka mithali 28.13.

Mwenye asikio na asikie neno hili ambalo roho mtakatifu anawaambia ufunuo sura 2 na 3

natumaini nimekusaidia
 
sina imani na kakobe

Yesu Krito hata Mungu watendao maovu hawawaamini, sembuse ww kutomwamini Kakobe, mm ninachoweza kusema ww ni mwovu, dhambi zimekulemea hivyo unapisikia mahubiri ya kakokbe yakikemea dhambi yanakuchukiza kwasababu bado unazipenda dhambi

kumbuka Biblia inasema waovu wote wataangamizwa kama nyakati za sodoma na gomora ufunuo 21.8, mathay 5.40-41

usipotubu hakika yake utaangamia wala hautaingia mbinguni kama mchungaji wako au papa wako au sheikh wako anavyokudanganya, kwani mbingu sio ya wenye dhambio bali ni ya watakatifu pekee
 
Yesu Krito hata Mungu watendao maovu hawawaamini, sembuse ww kutomwamini Kakobe, mm ninachoweza kusema ww ni mwovu, dhambi zimekulemea hivyo unaposikia mahubiri ya kakobe yakikemea dhambi yanakuchukiza kwasababu bado unazipenda dhambi

kumbuka Biblia inasema waovu wote wataangamizwa kama nyakati za sodoma na gomora ufunuo 21.8, mathayo 5.40-41

usipotubu hakika yake utaangamia wala hautaingia mbinguni kama mchungaji wako au papa wako au sheikh wako anavyokudanganya, kwani mbingu sio ya wenye dhambi bali ni ya watakatifu pekee
 
Kakobe ni tishio kwa ccm na wafuja madaraka wote kwani kabla ya uchaguzi alitoa somo zuri sana juu ya elimu ya uraia ambalo liliwafungua wengi macho' BIGUP KAKOBE SASA TUNATAKA SOMO JINGINE ULIITE" MKRISTO NA PROPAGANDA ZA MAGAMBA" ili kwamba kile chama cha magamba ambacho kipo chini ya dini ya wanaolala makaburini waipate yao. BRAVO KAKOBE.
 
Askofu KAKOBE ni mtu ambaye anaonekana kuwa na msimamo apa nchini na msimamo yake mingi imekuwa ikipingwa na watu wengi lakini mwisho wa siku ukweli unajulikana na wale waliomsikia wanafaidika wakati waliokaidi wanajuta
mfano wa misimamo ni
deci alisema kuwa ni kamari kutoka kusimu wengi walikataa lakini ukweli ukajulikana.
Kuhusu kikombe cha babu loliondo aksema akitoki kwa Mungu ni kumwabudu shetani lakini wengi awakusikia wakasema ni ofu ya kukimbiwa na washirika lakini ukweli ulijulikana wengi wamekufa nawengine kuwa hoi kuliko mwanzo.
Sasa kwa ayo machache tunaitaji mawazo ya mtumishi uyu kwaajili ya maendeleo ya TANZANIA
NAWASILISHA.

kama unaona anakufaa kuwa mchungaj wako chukua uanachama kweny kanisa lake,kila la kheri.
 
Vipi kakobe v/s ngeleja? Alifanikiwa?

Kakobe alizuia kimwili waya na nguzo zisipite, ambapo serikali ilishinda kwa mabavu na kupitisha nyaya. swali linakuja, azma yao ya umeme kupita imetimia? UMEME HAUPITI. Sasa nani mshindi? Bado imani zenu haba?
 
Back
Top Bottom