Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

Joined
Mar 17, 2026
Posts
86
Reaction score
122
Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma.

Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa kukuomba uwawekee muundo wa kiutumishi walimu wote wenye shahada za pili (masters degree) kwani mpaka sasa hawatambuliki kimuundo Wala kimasilahi.

Mungu Akubariki sana Mh. Rais na serikali Yako.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
 
Huwezi kuona value kama huna akili
Wewe ndio Jinga la Mwisho very awkward unaomba scale adjustment kwa value ipi? Then punguza Uchawa utakazwa honestly huwa sipendi Jitu la kujipendekeza like you wild monkey & rattle snake. Ulicho- post hapa you must assess on Need- bassed & merit- based plus National Priorities. Kweli unawaza Profusion of Income while our students are typically destituted. Then, Unaomba what? Watu walishaomba before kwa kwa sababu nilizosema hapo juu nothing changed leo oooòoooh SIKIVU hopeless kabisa.
 
Sio kazi na utu tunasonga mbele.

Ni kazi na mtutu tunasonga mbele.

Halafu huyo Samuya alichaguliwa na nani kuwa rais?

Pia huyo Samuya hata high school hajafika hivyo hafai kuitwa daktari.
 
Sio kazi na utu tunasonga mbele.

Ni kazi na mtu tunasonga mbele.

Halafu huyo Samuya alichaguliwa na nani kuwa rais?
Lala kwanza akili ijichaji au unaogopa usije ukakojoa kwenye godoro la shemeji yako.

Mh..Rais alichaguliwa na sisi watanzania
 
Shida UCHAWA Dogo utakumaliza na Mwaka huu ni lazima UKAZWE. Be strong & stable. Kama ni issue sema sio lazima uanze SIKIVU oooooh Sikivu my Foot.
It's a Government for all of us either you like or not.
Lala sasa shemeji yako anataka aongee kitu na ndugu yako
 
Lala kwanza akili ijichaji au unaogopa usije ukakojoa kwenye godoro la shemeji yako.

Mh..Rais alichaguliwa na sisi watanzania
Mwalimu Kimbesa unahangaika na ID mpya kila siku wakati pattern ya uchawa wako na mwandiko wako tunaujua hata ukija na ID 500 tofauti.

Halafu umekariri tu kila mtu aliyepo JF saa hizi alipo ni usiku?
 
Mwalimu Kimbesa unahangaika na ID mpya kila siku wakati pattern na mwandiko wako tunaujua

Halafu umekariri tu kila mtu aliyepo JF saa hizi alipo ni usiku?
Jukwani upo kitambo sana sema tu akili ndo haikui,
 
Jukwani upo kitambo sana sema tu akili ndo haikui
Mwalimu Kimbesa unahangaika na uchawa shauri ya buku 7?
downloadfile-270.png
 
Back
Top Bottom